Matumizi ya android tv box

Matumizi ya android tv box

Kuna lenovo, dell optiplex 3020 core i5/ i7 4th gen ni ndogo kabisa.
 
Weee jamaa nani kakudanganya kuwa min pc zote zina hiyo Atom.

Min pc kibao zina intel kiuanzia core 2duo hadi i7.
Yaani laptop ziweze kuwa na processor kubwa then min pc ishindwe kweli???
Sasa bro umesema mini PC ya laki 3. Mini PC ya laki 3 ina core i7? Mini PC za laki 3 zina intel Atom tu
 
Kuna lenovo, dell optiplex 3020 core i5/ i7 4th gen ni ndogo kabisa.
Yaan dell optiplex 3020 ni mini PC? Mini PC ni size hii [emoji3596]
0359LU9aZHZ1VUII9pDeaSq-1.1586873980.fit_lpad.size_625x365.jpg
 
Nijuavyo swala la streaming linategemeana na network. Akichukua min pc ataenjoy zaidi game za windows ambazo ni bora zaidi.
Unapokuja kwenye swala la performance mkuu computer haina mpinzani. (Pc)
Me naendelea kumshauri achukue min pc. Atakuwa kaua ndege wawili kwa jiwe moja. Akipata na wireless mouse mambo yanakuwa rahisi kabisa.
Mkuu min pc inauwezo wa kustream 1080p?
 
Mkuu min pc inauwezo wa kustream 1080p?
Wee unavyofikiri kipi kitazuia kama network ipo vyema?

Au kinachokuchanganya ni hilo neno MIN.
Kwani si ni kompyuta kama kompyuta zingine? Au kompyuta zingine ww haustream kwa720p/1080p?
 
Na Mimi ninayetaka kununua LG smart yenye webOS, nami nitafaidi au itakula kwangu?
 
Mini PC zinazingua, zina processor za zaman na zinazingua kuplay video za high resolution. Unafaham kua Intel Atom zilizopo kwenye mini PC zina uwezo mdogo sana yaani. Video ya 1080p tu inaitoa jasho. Huwezi hata cheza game yoyote ya maana mule kma utakazo weza kucheza kwenye Mi TV box ambayo ni bei chee kuliko mini PC

Pengine unaongelea mini pc za zamani. Umeshajaribu kutumia intel nuc ?
 
Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    6.5 KB · Views: 12
Pengine unaongelea mini pc za zamani. Umeshajaribu kutumia intel nuc ?
Hzo zipo capable. Jamaa alisema ya laki 3. Intel nuc haiwezi kua laki 3 hata kwa dawa. Ila mi naona tu kma mtu anataka kua na smart TV ni bora achukue android TV tu ambazo zinarange kwenye laki na 30 kushuka chini. Ssa kweli unataka smart TV alaf unaenda kununua PC nzima kabisa ya nini sasa.
 
Kuhusu kununua pc, pia kuna issue ya matumizi ya umeme. Tv box zina matumizi madogo ya umeme.
 
Hzo zipo capable. Jamaa alisema ya laki 3. Intel nuc haiwezi kua laki 3 hata kwa dawa. Ila mi naona tu kma mtu anataka kua na smart TV ni bora achukue android TV tu ambazo zinarange kwenye laki na 30 kushuka chini. Ssa kweli unataka smart TV alaf unaenda kununua PC nzima kabisa ya nini sasa.
Mkuu Android tv ni ya juzi tu, HTPC (Home theatre pc) zipo miaka na miaka kuna case zake zinakuwa na Display kwa mbele na infrared.
top.jpg

Na sababu ni pc unai customize kutokana na unachopenda mfano kama we ni mtu wa muziki unatafuta sound card ya maana, kama ni movies unatafuta mlango mzuri wa cd wenye hadi bluray etc.

Na pia upande wa software windows inazo nyingi za tv, kama Kodi, windows media centre, etc

Na uzuri wa hizi software unaweza tumia kwa gamepad, mara ya kwanza unafanya configuration na mouse na keyboard, then baadae ikiwa kwenye tv unatumia tu pad.
 
Hata pc ukitaka yenye matumizi madogo ya umeme zipo kuanzia 2W mpaka 10W zimejaa kibao.
Tatizo ndio hivyo pc zinazokula umeme mdogo ni mtori kabisa. Kuanzia processor, gpu hata resources zake zingine ni ovyo.
 
Tatizo ndio hivyo pc zinazokula umeme mdogo ni mtori kabisa. Kuanzia processor, gpu hata resources zake zingine ni ovyo.
Ni kweli, lakini uki compare nguvu ya pc yenye 2w ni sawa tu na android. Na kama una pesa pc stick ya core M ina nguvu sana compare na tv za android japo iko kwenye mfumo wa stick tu na kutumia 4W

in-hand_02.jpg

Core M inasukuma Hadi GTA V
 
Back
Top Bottom