Matumizi ya asali, tango na limao

Mm nliambiwa kuwa usije ukala Tango na Asali kwa Wakati Mmoja.
 
Hata mi nilishawahi soma mahali kwamba ndimu (lime) ukichanganya na asali ina form sumu
 
Wanajua hebu watuambie ukweli maana hata mimi nilishasikia hivyo
 
Me cjaelew hpo!
Itakuw limao+asal inafom sum y kuua vjidudu viletavo madhara tumbon
 
Woga wa nini?...wakati ulijua kabla au mafua yalikuzidi mpaka ufahamu ukakutoka.
Haya twambie ukifa tukakuzike wapi maana tayari umeshabugia sumu.
 
Kila asubuhi natengeneeza chai ya rangi
Naweka asali kijiko na maji ya limao .

Nimefanya hivyo miaka nenda Rudi.

I'm still alive and kicking. 🙂
 
mwenyewe nachanganyaga asali na limao na tangawizi hizo ni propaganda tu
 
Mimi huwa natumia kila mara limao na asali kama dawa ya kikohozi na mafua. Hata watoto wangu huwa wanatumia hivyo. Hata leo nimemnywesha mtotto mmpk
 
Kama hujafa mpaka sasa hivi ujue kuwa si kweli ila hata ukifa hatuwezi kujua!
 
Hizi stori nimekuwa nikizisikia tangu primary. Zina ukweli wowote au stori za vijiweni. Nisaidieni wazee manake leo nimejisahau. Niliweka asali kwenye mkate nikagonga na chao iliyochanganywa na limao. Si unajua nina mafua.
RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…