Matumizi ya asali, tango na limao

Matumizi ya asali, tango na limao

Si kweli asali ukichanganya na limao ni dawa nzuri sana ya kikohozi.
 
No hadidhi za alinacha hata mimi nikiwa mdogo niliambiwa hivyo lakini kumbe ni dawa nzuri sana ya kifua
 
Asali, limao ndio kinywaji changu na sijawahi kufa, labda mniambie nimekuwa ghost bila kujua
 
Back
Top Bottom