Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Baba Swalehe acha mbwembwe. Hiyo ni tasnia yangu long tu ila huwa naisusa. Maslahi yake makavu. Hebu nipatie namba yako nkupigie.Mzee nakuona ona nyuma ya "kemera" nowadays, unataka ingia kwenye "tasnia"yetu? Kwanza nitwangie simu, kitambo sana baba swalehe! Teh
Acha kumtisha ndugu hakuna kitu kama hicho.Inasemekana ni asali ya nyuki wadogo je ww umetumia asali gan? Kama nyuki wadogo R.I.P
Inamaana huijui namba yangu au mpaka nitumie ID ile yenyewe? Hebu jiongeze!Baba Swalehe acha mbwembwe. Hiyo ni tasnia na ea long tu ila huwa naisusa. Maslahi yake makavu. Hebu nipatie namba yako nkupigie.
Wewe sasa ndio unatakiwa utupatie jibu, maana umeshakula asali na limao. Sasa unauliza nini tena? Subiria kidogo, kama hautakufa utakuwa umeshapata jibu la swali lako, na kama ukifa, vivyo hivyo.Hizi stori nimekuwa nikizisikia tangu primary. Zina ukweli wowote au stori za vijiweni. Nisaidieni wazee manake leo nimejisahau. Niliweka asali kwenye mkate nikagonga na chao iliyochanganywa na limao. Si unajua nina mafua.
Hizi stori nimekuwa nikizisikia tangu primary. Zina ukweli wowote au stori za vijiweni. Nisaidieni wazee manake leo nimejisahau. Niliweka asali kwenye mkate nikagonga na chao iliyochanganywa na limao. Si unajua nina mafua. ASALI NA TANGO siyo limao mkuu
hebu nitafute na ile id yako ya kibazazi. Inaonekana ushaharibu ndo maana umebadili id ili uharibu kwngine. KudadekiInamaana huijui namba yangu au mpaka nitumie ID ile yenyewe? Hebu jiongeze!
Hahahaha Bazazi katika ubora wake!hebu nitafute na ile id yako ya kibazazi. Inaonekana ushaharibu ndo maana umebadili id ili uharibu kwngine. Kudadeki