Matumizi ya asali, tango na limao

Hizi stori nimekuwa nikizisikia tangu primary. Zina ukweli wowote au stori za vijiweni. Nisaidieni wazee manake leo nimejisahau. Niliweka asali kwenye mkate nikagonga na chao iliyochanganywa na limao. Si unajua nina mafua.
[emoji28] kwanin ule asali na limao kwa pamoja???
Hizi stori nimekuwa nikizisikia tangu primary. Zina ukweli wowote au stori za vijiweni. Nisaidieni wazee manake leo nimejisahau. Niliweka asali kwenye mkate nikagonga na chao iliyochanganywa na limao. Si unajua nina mafua.
 
asali na limao dawa nzuri ya kifua na huongeza ufanisi kwa akina baba
 
Ule asali usile asali uchanganye usichanganye utakufa tu maana hakuna namna. Ila hatujui Siku SAA mahala ila ni swala LA mda tu.
This has nothing to do with my topic. But thanks for being part of my thread, anyways.
 
Unakufa au ufi? Hilo ndiyo swali
 
Unapona kama ulikuwa na tatizo la kikohozi
 
Kila asubuhi natengeneeza chai ya rangi
Naweka asali kijiko na maji ya limao .

Nimefanya hivyo miaka nenda Rudi.

I'm still alive and kicking. 🙂
Mie kila siku maji ya moto natia kijiko cha asali na limao bado nipo
 
maji ya uvuguvuga +asali + limao= Dawa.....
 
Waongo tu, kwani mimi natumia sana mkate na asali tena si kidogo upande wa2 nakuwa na supu pomoja na limao mbona sijsfa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…