Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
hujawahi kufa?Waongo tu, kwani mimi natumia sana mkate na asali tena si kidogo upande wa2 nakuwa na supu pomoja na limao mbona sijsfa
huwa anakunywa hayo mambo?Muulize gwajima majibu anayo
una uhakika upo hai?Mie kila siku maji ya moto natia kijiko cha asali na limao bado nipo
lakini watu wanasemaUzushi..tu wala hauna ukweli wowote
hizi stori si za kupuuza mazeeNaskia sana hizo habari ila sina uhakika, ukifa usisahau kuleta mrejesho
yaa.Hata mi nilishawahi soma mahali kwamba ndimu (lime) ukichanganya na asali ina form sumu
haaa,kwa hiyo hukufa????Bora wewe umekunywa chai ya limao.Mimi nilikamua limao na kuchanganya na asali.Mpaka leo naishi.
thank you darling.Umemaliza kulima?
una mume?Inaonesha u punguani wa hali ya juu, aliyekwambia kulima kunakwisha huyo kakuona juha kweli kweli.
huwezi kuolewa wewe.Nna Gozi.
Wewe una mume?
huwezi kuolewa wewe.
bila shaka unahitaji kuchumishwa mboga. Tembele au bamia?Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Wewe una mume?
Wanasema ni ndimu -lime sio limao-lemonAsali, limao ndio kinywaji changu na sijawahi kufa, labda mniambie nimekuwa ghost bila kujua