BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Kuna baadhi ya nchi zimeanza kuruhusu matumizi ya bangi. Je ni sawa kwa mchezaji kucheza mpira wa miguu ikiwa ni mvuta bangi?
Kwasababu wachezaji walevi wa pombe wapo na wanajulikana ( akina Gerrard, Terry, Rooney, Best nk ) na walikua wanakipiga vizuri tu.
Je kwa ganja inakaaje hii? Sisemi mchezaji avute ndo akacheze, la manake hata pombe hawainywi ndo wakaenda kucheza. Wadau mwaonaje hii? Lesotho nasikia kwao kule ruksa