Matumizi ya bangi kwa wanamichezo

Matumizi ya bangi kwa wanamichezo

BestOfMyKind

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
1,350
Reaction score
1,464
Kuna baadhi ya nchi zimeanza kuruhusu matumizi ya bangi. Je ni sawa kwa mchezaji kucheza mpira wa miguu ikiwa ni mvuta bangi?
Kwasababu wachezaji walevi wa pombe wapo na wanajulikana ( akina Gerrard, Terry, Rooney, Best nk ) na walikua wanakipiga vizuri tu.
Je kwa ganja inakaaje hii? Sisemi mchezaji avute ndo akacheze, la manake hata pombe hawainywi ndo wakaenda kucheza. Wadau mwaonaje hii? Lesotho nasikia kwao kule ruksa
 
Bangi iko class ya drugs na hairuhusiwi michezoni. Hata huko nchi walizoruhusu haimaanishi wanaoshiriki michezo inayosimamiwa na bodi kama FIFA, Olimpic n.k wanaruhusiwa kutumia.

As far as unashiriki katika michezo iliyo chini ya usimamizi wa bodi zinazokataza matumizi ya aina yoyote ya dawa za kulevya sheria itachukua mkondo wake ukikikiuka anti-doping rules..

Kama mnataka anzisheni mashindano yenu ya wavutaji bangi muweke sheria zenu.
 
Back
Top Bottom