Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Aiem ze fest tudei where u josefu evaristHiyo haina tatizo weka tu Tena ile kubwa jion unaishusha na asubuhi unaipandisha tena ila usisahau kutuletea mlejesho kwa yale yatakayokupata
Happy Saba saba day!
Niende kwenye mada,Watanzania tuna bendera yetu ya taifa,na nimeona watanzania wengi wakiweka bendera za taifa kwenye magari yao,makanisa yao,ofisi zao nk na wengine kupewa bendera wanapoenda nje ya nchi hasa wasanii.
Nauliza je ninaweza kuweka mlingoti wenye bendera ya taifa nyumbani kwangu?
Naomba wenye uelewa waje kunipa mwongozo.
Asanteni.
Nimeuliza ndugu,mbona wanitisha?Hiyo haina tatizo weka tu Tena ile kubwa jion unaishusha na asubuhi unaipandisha tena ila usisahau kutuletea mlejesho kwa yale yatakayokupata
Bendera ni bendera mimi nataka kuweka kubwa home kama inaruhusiwa!Mmmmh sijawahi kuona mtu ameweka mlingoti...labda zile ndogo
Kwa nini usifanye hivyo alafu sie tujifunze kutoka kwako?Bendera ni bendera mimi nataka kuweka kubwa home kama inaruhusiwa!
JK wakati anaingia madarakani alisema hata mtu akishona nguo yenye rangi ya bendera ya Taifa la Tz haina shida hata ukipamba kwako alifanya hivyo ili tuwe wazalendoHappy Saba saba day!
Niende kwenye mada,Watanzania tuna bendera yetu ya taifa,na nimeona watanzania wengi wakiweka bendera za taifa kwenye magari yao,makanisa yao,ofisi zao nk na wengine kupewa bendera wanapoenda nje ya nchi hasa wasanii.
Nauliza je ninaweza kuweka mlingoti wenye bendera ya taifa nyumbani kwangu?
Naomba wenye uelewa waje kunipa mwongozo.
Asanteni.
Weka vifungu mkuu.Ni Kosa Kupeperusha Bendera Ya Taifa Nyumbani Kwako Isipokuwa Inatakiwa Majengo Yote Ya Umma Ndiyo Huruhusiwa Kupeperusha Bendera Saa 12 Asubuhi Na Kuishusha Saa 12 Jioni
Ukipeperusha Nyumbani Kwako Ni Kosa Kwa Mujibu Wa Sheria Ya Usalama Wa Taifa.