Matumizi ya Bendera ya Taifa kwenye makazi binafsi

Matumizi ya Bendera ya Taifa kwenye makazi binafsi

Natumaini wazima wa hali.

Jambo lenyewe ndo hilo nalotaka kulifanya sio kwamba nimekosa kazi ya kufanya hapana, ni maamuzi yangu binafsi.

Nataka niweke iwe inapepea nje? Jinsi gani? Nakupenda Nchi ya Yangu Tanzania, Msaada nifate vigezo gani?
Wewe ni mfuasi wa Mataga?
 
Hairuhusiwi hiyo ni mali ya serikali. Umeipata wapi hiyo Bendera? maana kuining'iniza tu kwenye gari au pikipiki ni Kosa, Sembuse kwenye gheto lako!

Na wakati wa kuifunga juu ya mti au mlingoti ni lazima watu wanaokuona wawe wamesimama kwa adabu hadi ukimaliza kuitundika, na kuishusha ni hivyhivyo.
 
Natumaini wazima wa hali.

Jambo lenyewe ndo hilo nalotaka kulifanya sio kwamba nimekosa kazi ya kufanya hapana, ni maamuzi yangu binafsi.

Nataka niweke iwe inapepea nje? Jinsi gani? Nakupenda Nchi ya Yangu Tanzania, Msaada nifate vigezo gani?
Ukiwa CCM unaruhusiwa kuweka ata chooni mkuu
 
Kama umeoteshwa ndoto na Chifu Wanzagi kuwa ufanye hivyo, fanya bila hofu yoyote na jiwe atakupa big up sana kwa uzalendo huo.
 
Hairuhusiwi hiyo ni mali ya serikali.
Umeipata wapi hiyo Bendera? maana kuining'iniza tu kwenye gari au pikipiki ni Kosa, Sembuse kwenye gheto lako!

Na wakati wa kuifunga juu ya mti au mlingoti ni lazima watu wanaokuona wawe wamesimama kwa adabu hadi ukimaliza kuitundika, na kuishusha ni hivyhivyo.
Mkuu simaniishi kwamba ninayo hapana utaratibu upoje
 
Tz tunaficha sana mambo. Hata taratibu kama hizi watu hatuzijui tunabaki kutishana tu. US wana taratibu zao za bendera ipandishwe vipi ikunjwe vipi n.k.

Ni taratibu nyingi kiasi kwamba baadhi ya taasisi mfano Disney hawatumii bendera ya Marekani. Yaani kwa sheria yao bendera yao inabidi iwe na nyota idadi sawa na majimbo yao, nyota zikiwa pungufu hiyo siyo bendera ya Marekani.

So hii loophole ndiyo inatumiwa na hizo taasisi. Imagine unaambiwa bendera haitakiwi kunyeshewa, iwe ya kwanza kuonekana kama kuna bendera za nchi nyingine n.k ni ngumu
 
Back
Top Bottom