Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Nina familia ya watu zaidi ya 7 na nimesikia Bendera huruhusiwa kwenye sehemu ya watu wengi(public)Unaweka!ila hapo nyumbani kwako kuna shughuli gani inayo litambulisha taifa?
[HASHTAG]#FreeHalimaMdee[/HASHTAG]Kwenye nchi za wenzetu hili la kuweka bendera ya Taifa tena kubwa tu ni jambo la kawaida sana na hakuna atakayekusumbua lakini hapa nchini nina wasiwasi unaweza kuishia lupango. Uliza kwanza kama unaruhusiwa kufanya hivyo.
Hiyo sio mali binafsi kwahiyo huwezi kuimilikiNatumaini wazima wa hali.
Jambo lenyewe ndo hilo nalotaka kulifanya sio kwamba nimekosa kazi ya kufanya hapana, ni maamuzi yangu binafsi.
Nataka niweke iwe inapepea nje? Jinsi gani? Nakupenda Nchi ya Yangu Tanzania, Msaada nifate vigezo gani?
Kwanini Mkuu mimi nimeuliza tu yasije kuwa mengineAisee..ndo nyie tunaowaongelea!
Kivipi mkuuUnataka kesi ya uhujumu uchumi eti?
😁😁🤣labda uweke zote mbili... na ile ya TUMEIPENDA WENYEWE