mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,729
Nawaza tu kwa sauti, hivi hizo bilioni zilizokusanywa na CCM, wakati wa harambee, zitatumikaje katika miezi 2 ya kampeni (zaidi ya 1b kila siku) ili hali ya huduma za jamii nyingi zinahitaji fedha kuboreshwa. Najiuliza hivyo kwa kuwa Serikali iliyoko madarakani ni ya CCM.
Na isitoshe, ushindi wa CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao, hauna mashaka kwa kila hali na hila.
Na isitoshe, ushindi wa CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao, hauna mashaka kwa kila hali na hila.