Matumizi ya CCTV camera Tanzania na uvunjifu wa haki ya faragha

sheria lazima iweke mamlaka ambayo itakuwa inasimamia hizo camera
naona unazunguka tu. Kuwe na mamlaka ya usimamizi wa CCTV? haaa haaaa mamlaka itakuwa inafanya kazi gani. Mkuu kama umeenda gest chakarii ukavua nguo kwenye korido pambana tu na hali yako
 
Malaysia nilikuta kamera imefungwa chumba vha kulala. Chooni tu ndio hamna Kamera.
 

Kwan zimefungwa chumbani ndug?
 
Binafsi naionyeshea dole ka kati kamera inayonimulika
 
Mkuu tatizo ni uelewa wako juu ya haya mambo tu.

Sehemu yoyote ambayo haimilikiwi na wewe hauwezi kuingilia utaratibu wa sehemu hiyo.

Umeenda dukani kwa mtu hapamilikiwi na wewe hivyo muache mmiloki afanye awezavyo kuimarisha ulinzi.

Umeenda baa umekuta CCTV komaa nayo tu kwa sababu ungetaka faragha ungejifungia chumbani tena kuwe kwako.

Siku CCTV zikija kufungwa chumbani kwako au chooni kwako bila ridhaa yako unayo haki ya kulalamika sana tu kwa sababu wewe ndio mmiliki.
 
soma ibara ya 16 ibara ndogo ya 2 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya1977. inajibu kahuri yako.
 
Malaysia nilikuta kamera imefungwa chumba vha kulala. Chooni tu ndio hamna Kamera.

Mkuu acha maksihara!! ilikuwa Kwenye hotelini au nyumbani kwa mtu.
Hatari sana kuna jamaa yangu alienda Hungary semina ya Kama miezi 2 akawa anakaa Kwenye hostel siku za mwishoni akaja kugundua kuna kamera alikuwa anarekodiwa jamaa alimaind kishenzi ila ndio akawa anarudi bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…