Nimependa hapo Nyama na WaliTeh teh,
Kuna ile unamkuta sisimizi fulani mkubwa unaanza mtea mate huku unaimba mahitaji yako daaah nilikuwa namtemea mpaka mate yananikauka huko wimbo wangu mkuu ni nyama na wali, sasa sijui ilikuwa kweli au ni imani
Mkuu ukichoma si itaruka kama cheche????Kuna baadhi ya shida katika maisha utatuzi wake sio kwa waganga wa kienyeji ambako mara nyingi hukuacha na maagano
Kwahiyo Kuna hii tiba ya kutakasa kwa chumvi na mafuta ya mzeituni ambapo unaweza kutumia kwa kuchoma kuogea au kumwaga kuzunguka nyumba huku ukinuizia kufukuza mambo yote machafu na kukaribisha baraka na mafanikio
unaweza kufanya hivi mara moja kwa siku mara tatu au mara mbili kwa wiki nzima
MdogomdogoMkuu ukichoma si itaruka kama cheche????
Supu? yaan maji na chumvi tu?Chemsha supu kunywa kutwa mara tatu
Mzaituni ndo olive eeh.. Ngoja niwe najipaka labda nyota itang'aaIna matokeo mazuri kutokana na imani yako kwenye manuizi
Wengi wamefanikisha na kukwamuka hasa kwenye kuuza nyumba viwanja nk....hata katika mahusiano pia na ndoa zinazolegalega
Mafuta ya mzeituni hung'arisha
Chumvi huleta ladha....
Kwahiyo manuizi yako lazima yalenge huko
Nyie Wakenya huwa mnakula maarage ya wapi?Mkuu Jodeo umesema maneno ya ukweli sio kila dawa ni uchawi waambie Wa-Danganyika wamelala usingizi mzito kila kitu wanaamini ni uchawi wapo usingizi mzito Wadanganyika aliye wartoga amesha kufa hawawezi kupona kamwe Hongera Mkuu.@JODEO
Kismas au 'kiss my ass'?->msindikize mgeni usiempenda huku umeshika chumvi kiganjani mkono wa kushoto,wakati mnaachana kwa kupeana mikono,hasa wakati unageuka kurudi irushe Juu nyuma yako huku ukisema," kismass and never come to me again"ondoka bila kuheuka nyuma straight to home...
Ni kweli kabisa
[emoji2] [emoji2]Mzaituni ndo olive eeh.. Ngoja niwe najipaka labda nyota itang'aa
Waplotestant waliviondoa baadhi ya vitabu kwa faida zao binafsi.Tobiti ipo kwenye bilblia mbona sjaona icho kitabu
Aisee hii nimeisikia imenishangaza sanVipi kunywa mkojo uimarishe mahusiano ushawahi kusikia au kuona?
Kama ilivyo mtaninaitumia kama ilivyo au kuna vitu vya kuchanganyia ?