Matumizi ya connect za Upwork

Matumizi ya connect za Upwork

Wandugu hii mada nimeipenda na nimefatilia ila sijapata mtu au uzi mzuri unaoelezea kuhusu hii platform, ningeomba ambae ameielewa vizuri anielekeze.Asanteni
Ingia YouTube tafuta Upwork ujifunze Inakuaje na Wanafanyaje Kazi ni Somo Refu Kidogo. Kama ni mtu una Fani Fulani unaweza kuigezuza Ikawa Vijihela.

Good Luck🤞🤞
 
#Marejesho Kazi Mpya fixed Price $60 Kazi ya Siku 2. Aisee Hii UPWORK ni Hatari. Ndio Kwanza Sina Hata Mwezi kujiunga Mzigoni.

Hii Kazi Imetoka Mbele, Marekani.

Kwa Ambao hamfahamu Hizi Fursa za Kujiajiri Upwork Fuatlia Nyuzi za Wakuu Watangulizi Wangu.

Tuzidi Kuombeana Bado Sijadeliver Kazi Ata Moja Deadline ya Kwanza ndo Kesho.

Mkuu una kismart au skills zako ni marketable maana unaweza bid months usipate kitu.

Ningeomba kufahamu skills zako ata mbili mkuu unazobid kwa job?
 
Wandugu hii mada nimeipenda na nimefatilia ila sijapata mtu au uzi mzuri unaoelezea kuhusu hii platform, ningeomba ambae ameielewa vizuri anielekeze.Asanteni
Mkuu una kismart au skills zako ni marketable maana unaweza bid months usipate kitu.

Ningeomba kufahamu skills zako ata mbili mkuu unazobid kwa job?
Mimi nafanya 3D Modeling, solid Works, interior Design, 3D Rendering, graphic design and More
 
Jinsi Ya Kupokea/ku-withdraw Pesa Kutoka Upwork Au Fiverr (Beginners Freelancing Guide)

Mimi nafanya 3D Modeling, solid Works, interior Design, 3D Rendering, graphic design and More
Kwani hizo hela unatumiwa direct kuja kwenye account yako ya benki au zinapita sehemu flan kwenye wallet hebu fafanua hapo
 
Ukipata kazi malipo yanapitia on progress baada ya kusubmit kazi, malipo yanahamia in review. Client akishakulipa Upwork wanakata 20% ya pesa yote kwa gig iliyochini ya 500$ na above 500$ Upwork fee ni 10%.
Pesa inayobakia unakuwa pending kwa siku 5 siku ya sita inakuwa available, ambapo unaweza kuitoa kwa njia ya payoneer kwenda bank. Kwa wakazi wa USA unatoa bure kutoka upwork kwenda bank yako, kwa wakenya wanahamisha direct from Upwork to Safaricom.
[emoji273]View attachment 2131963
 
Attachments

  • Screenshot_20220226-153512_Freelancer%20-%20Upwork.jpg
    Screenshot_20220226-153512_Freelancer%20-%20Upwork.jpg
    30.1 KB · Views: 56
Ukipata kazi malipo yanapitia on progress baada ya kusubmit kazi, malipo yanahamia in review. Client akishakulipa Upwork wanakata 20% ya pesa yote kwa gig iliyochini ya 500$ na above 500$ Upwork fee ni 10%.
Pesa inayobakia unakuwa pending kwa siku 5 siku ya sita inakuwa available, ambapo unaweza kuitoa kwa njia ya payoneer kwenda bank. Kwa wakazi wa USA unatoa bure kutoka upwork kwenda bank yako, kwa wakenya wanahamisha direct from Upwork to Safaricom.
[emoji273]View attachment 2131963
Aisee Umekuja Muda muafaka Kuna Kazi ya Kwanza nime delive Jana Ya $60 Sasa nimekaa Nashangaa Mbona Mpunga hauzami kwenye Account. Mpka nikahisi Nimepigwa. Kumbe ni baada ya Siku 5.

Mkuu kuhusu Payoneer, Verification mbona Kama Inachukua Muda Sana. Ulitumia document Gani kwenye verification ya Makazi yaani Residence.
 
Passport/national ID
Bank statement ndani ya masaa 24 inakuwa tayari. Mambo ni mengi minimum withdraw Payoneer ni 50$ na makato ni 15$ per transaction up to 750$, bank kuna some charges ambazo zonaweza fika 15k .
Inabidi ujipange kwanza kabla ya withdraw usije kupata hasara.
Ziache angalau zifike 300+ ndio unatoa pia unabakiza kidogo kama 10 za kulinda account kwa ajili ya kununulia connects[emoji273][emoji273]
 
CONNECTS 20 zimeisha bado bila bila
Nafaka ContentCreator
Mkuu connect uwa zinaunguaga tu mda mwngne unaweza choma nyng sana. Bid smart pia sio kila kitu unabid maana kuna project nyingine kupata ni 0.0001% probability.
Na pia epuka kubid project za watu hawajaverify hata payment methods uwa ni upotevu wa muda watu wanapost vtu hawarudi au wanakuwaga matapeli wanakutoa nje ya platform
 
Passport/national ID
Bank statement ndani ya masaa 24 inakuwa tayari. Mambo ni mengi minimum withdraw Payoneer ni 50$ na makato ni 15$ per transaction up to 750$, bank kuna some charges ambazo zonaweza fika 15k .
Inabidi ujipange kwanza kabla ya withdraw usije kupata hasara.
Ziache angalau zifike 300+ ndio unatoa pia unabakiza kidogo kama 10 za kulinda account kwa ajili ya kununulia connects[emoji273][emoji273]
Afanye kutumia skrill kama ana kadi ya payoneer yan skrill to safaricom from payoneer mastercard, ni instant, free and cheap utakutana na makato ya wakala na fx ya kes to tzs na sasa hivi tzs inastabilize against kes hivyo ela unayopokea inapungua kuliko nyuma
 
Mkuu connect uwa zinaunguaga tu mda mwngne unaweza choma nyng sana. Bid smart pia sio kila kitu unabid maana kuna project nyingine kupata ni 0.0001% probability.
Na pia epuka kubid project za watu hawajaverify hata payment methods uwa ni upotevu wa muda watu wanapost vtu hawarudi au wanakuwaga matapeli wanakutoa nje ya platform
sure,kuna mwingine kaweka link ya telegram,nimeena huko ananambia nilipe usd 50 eti ya kitambulisho then napewa contract ya muda mrefu. nimwmblock
najitahidi kubid zile zenye verified payment na kuwahi mapema punde kazi inapotangazwa
 
Komaa zali litakuangukia aisee... Competetion ya upwork ni zaidi ya competetion ya pilau la uswaz 🤣
 
Nili Subscribe Upwork Plus Imenilamba Dola 28 Kwa Miezi miwili. Nime Cancel. Nimechoma Connects za Kutosha Bado Bila Bila Nina Kiporo Cha Design Moja. Ambayo Iko on progress.

Payoneer Nimejiunga lakini Nina muda Kila nikicheki Status nakuta pending approval. Sijui nazingua Wapii...

Pending kwenye Residential Verification. ID imepita Tayari.
 
Edit document uliyotuma uweke physical address
 
Back
Top Bottom