Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
dola 5 man hadi itoke sio leo!! nilipiga lile pepa lao nikapata connects 40 na nilivyopata hiyo gig nimepata connects kumi. hapa nawinda kazi zingineUmeanza kula dolali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dola 5 man hadi itoke sio leo!! nilipiga lile pepa lao nikapata connects 40 na nilivyopata hiyo gig nimepata connects kumi. hapa nawinda kazi zingineUmeanza kula dolali
Check inboxdola 5 man hadi itoke sio leo!! nilipiga lile pepa lao nikapata connects 40 na nilivyopata hiyo gig nimepata connects kumi. hapa nawinda kazi zingine
readyCheck inbox
Ili kuweza kutuma pesa kutoka payoneer lazima uwe umepokea kuanzia dola 5000 na kutuma ni bure Payoneer to Payoneer. Pia ukishawithdraw mara kadhaa inachukua masaa 24 pekee kutoka Payoneer kuja kwenye bank yako hivyo haina umuhimu sana wa kutumia skrill kisha utume kwenye safaricom kuna makato then uje utoe tena safaricom uzishike mkononi ni mchakato mrefu.Afanye kutumia skrill kama ana kadi ya payoneer yan skrill to safaricom from payoneer mastercard, ni instant, free and cheap utakutana na makato ya wakala na fx ya kes to tzs na sasa hivi tzs inastabilize against kes hivyo ela unayopokea inapungua kuliko nyuma
Kutuma peaa from mastercard to safaricom makato yaliyopo ya FX ila skrill hawana charges.Ili kuweza kutuma pesa kutoka payoneer lazima uwe umepokea kuanzia dola 5000 na kutuma ni bure Payoneer to Payoneer. Pia ukishawithdraw mara kadhaa inachukua masaa 24 pekee kutoka Payoneer kuja kwenye bank yako hivyo haina umuhimu sana wa kutumia skrill kisha utume kwenye safaricom kuna makato then uje utoe tena safaricom uzishike mkononi ni mchakato mrefu.
SafiMliopo Upwork ama freelancing platforms zingine please usikate tamaa ni mchakato muhimu ni kuendelea kujifunza. Upwork huwa wanatoaga webinars zao mara kwa mara almost kila mwezi mara 2 so jiunge utajifunza kitu.
1. Namna ya kuandika winning proposals
2.Negotiation skills
3. kuweka vizuri profile yako search freelancers wengine wanaofanya kazi kama zako ona wameandikaje, jifunze kwao.
4. Ukipata muda tengeneza portifolio projects
5. Kama shughuli zako huwa unakaa ofisini na unatumia Internet hakikisha umelogin kwenye Upwork account yako, hii itasaidia algorithm kukutambua na kupata kipaombele kwenye kupata invitations.
6. Omba kazi kwa umakini ukiona proposals ni nyingi mfano 20-50 na kuna ambao wanetumiwa invitations proposals achana nayo.
7. Mvumilivu ndio msingi ukishafanya kazi nyingi kuanzia 50+ itafika mahali clients wa zamani wanakutafutia kazi mpya ama kukuunganisha na wateja wapya hivyo kufanya wewe usiombe tena kazi.
Kufikia hiyo hatua sio mchezo muhimu ni kuendelea kujifunza by the way bahati pia zinahusika[emoji1241][emoji1241].
8. Upwork kuna option ya kujiunga na freelancers wengine unamtumia request kumuomba . Ukipata marafiki mnashare changamoto na kupeana moyo hivyo kuendelea kuomba.
9. Tricks ni nyingi muhimu kuendelea kuwa active na kujiunga na platforms zingine hata Facebook na LinkedIn kuna madili ya Kazi usistick sehemu moja be flexible and
Soka La Juu Sana. Pamoja Sana.Mliopo Upwork ama freelancing platforms zingine please usikate tamaa ni mchakato muhimu ni kuendelea kujifunza. Upwork huwa wanatoaga webinars zao mara kwa mara almost kila mwezi mara 2 so jiunge utajifunza kitu.
1. Namna ya kuandika winning proposals
2.Negotiation skills
3. kuweka vizuri profile yako search freelancers wengine wanaofanya kazi kama zako ona wameandikaje, jifunze kwao.
4. Ukipata muda tengeneza portifolio projects
5. Kama shughuli zako huwa unakaa ofisini na unatumia Internet hakikisha umelogin kwenye Upwork account yako, hii itasaidia algorithm kukutambua na kupata kipaombele kwenye kupata invitations.
6. Omba kazi kwa umakini ukiona proposals ni nyingi mfano 20-50 na kuna ambao wanetumiwa invitations proposals achana nayo.
7. Mvumilivu ndio msingi ukishafanya kazi nyingi kuanzia 50+ itafika mahali clients wa zamani wanakutafutia kazi mpya ama kukuunganisha na wateja wapya hivyo kufanya wewe usiombe tena kazi.
Kufikia hiyo hatua sio mchezo muhimu ni kuendelea kujifunza by the way bahati pia zinahusika[emoji1241][emoji1241].
8. Upwork kuna option ya kujiunga na freelancers wengine unamtumia request kumuomba . Ukipata marafiki mnashare changamoto na kupeana moyo hivyo kuendelea kuomba.
9. Tricks ni nyingi muhimu kuendelea kuwa active na kujiunga na platforms zingine hata Facebook na LinkedIn kuna madili ya Kazi usistick sehemu moja be flexible and
👏👏👏👏👏👏👏👏👏Mliopo Upwork ama freelancing platforms zingine please usikate tamaa ni mchakato muhimu ni kuendelea kujifunza. Upwork huwa wanatoaga webinars zao mara kwa mara almost kila mwezi mara 2 so jiunge utajifunza kitu.
1. Namna ya kuandika winning proposals
2.Negotiation skills
3. kuweka vizuri profile yako search freelancers wengine wanaofanya kazi kama zako ona wameandikaje, jifunze kwao.
4. Ukipata muda tengeneza portifolio projects
5. Kama shughuli zako huwa unakaa ofisini na unatumia Internet hakikisha umelogin kwenye Upwork account yako, hii itasaidia algorithm kukutambua na kupata kipaombele kwenye kupata invitations.
6. Omba kazi kwa umakini ukiona proposals ni nyingi mfano 20-50 na kuna ambao wanetumiwa invitations proposals achana nayo.
7. Mvumilivu ndio msingi ukishafanya kazi nyingi kuanzia 50+ itafika mahali clients wa zamani wanakutafutia kazi mpya ama kukuunganisha na wateja wapya hivyo kufanya wewe usiombe tena kazi.
Kufikia hiyo hatua sio mchezo muhimu ni kuendelea kujifunza by the way bahati pia zinahusika[emoji1241][emoji1241].
8. Upwork kuna option ya kujiunga na freelancers wengine unamtumia request kumuomba . Ukipata marafiki mnashare changamoto na kupeana moyo hivyo kuendelea kuomba.
9. Tricks ni nyingi muhimu kuendelea kuwa active na kujiunga na platforms zingine hata Facebook na LinkedIn kuna madili ya Kazi usistick sehemu moja be flexible and
Aisee ni Nomakuna kazi nimepata hapo ni ngumu kuliko nilivotegemea
client anataka link za video za kibena zaidi ya masaa 500( Yaani total length ya video zote ziwe masaa 500) hapo hawahitaji nyimbo za asili wala ngoma!!
Naomba elimu. UPWORK ni nini hasa. Inafanyaje kazi?Kwa Wale wapambanaji Wenzangu wa Mitandaoni nikiongelea Upwork nafkiri sio Kitu Kigeni. Kwa Wale Ambao Hawafahamu kuhusu Fursa za Upwork fuatlia Uzi Mbali mbali upate Mwanga.
Moja Kwa Moja Kuna Zile Connect za Kuombea Kazi kule Upwork, Kuna ambazo ni za Bure Kila Mwezi Na Kuna Zile Zinauzwa Kwa Bundle.
Mimi Sio mzoefu Sana Kwenye Upwork ndio Kwanza Nimejiunga, nimepokea invitation moja ya Kazi. Sasa huyu bwana ameniambia tutafanya kikao, kama navutiwa Kufanya Kazi, Haya Mimi nikamwambia Nipo Available. Akapotea Baada ya Siku Mbili Mimi Hata Sikumcheki. Akarudi akaniuliza mbona Kimya Kuhusu Kikao/meeting. Sasa Ndugu Zangu Hapa Mimi nikashindwa Kuelewa Nani anatakiwa Amcheki Mwenzake. Na Hivi Vikao/Meeting Inakuaje Wazoefu Mnipange. Kama Nimezingua. Akanipanga Akasema Ijumaa Hii Ndio Atakua Na Nafasi Ya Kikao. Na Mimi Nikamwambia Fresh Mimi nipo Tu.
Swala lingine: Je Hizi Bando za Upwork ninunue au nipambane na Zile Za Bure Tu?
Swala Lingine: Kitufe Cha Availability kuwaka pale mabayo Inatumia 6 connect Kwa wiki Je Yafaa kuiweka Hyo Huduma Au ni kiherehere. Kwasababu Mimi ni Beginner naa Nataka nIpate Wateja/clients Kwa Namna yoyote kama Waliofanikiwa wanavyofanya Kwenye hyo Platform.
Swala Lingine: Nimeona Unaweza Kupata Kazi hapa Upwork alafu ukaenda Kuipeleka Fiver Kutafuta mtu mwingine aifanye Kwa Kukosaa Muda, Swala linakuja Kule Fivver wakati unaingia Contract na Muuzaji/seller inapaswa Hela Ulipe Kabisa, Hela ikae Kwenye Escrow. Sasa kwa Kazi ya $1000 hii Utafanyaje Au Inabidi Uwe na Kamtaji Pembeni Cha kumaliza Hizi Dili Kule Fivver. Hapa Wenzangu Mnafanyaje, Kwasababu kuendana na Fani yangu Kuna Kazi Mpka Za $1500.
Swala Lingine: Kwenye Portfolio Yangu Kuna Projects zaidi Ya 60 ambazo Nimeweka Na Nimezifanya Mimi. Na Nina uzoefu wa Muda mrefu Nimeweka Rate ya $35/hr ambapo Ukitoa Commission nachukua $28/hr. Na Hii Nimeweka baada ya Kufanya Tafiti Za Wadau Wengine Wenye Fani Kama Yangu alafu nikashusha Bei Kidogo.
Swala Lingine: Kitu Gani Cha Kuzingatia unapochukua Kazi Upwork na Kwenda Kuiuza Fivver.
Naomba Michango YENU Wadau.
Ndugu Yangu Tembelea Kuna Nyuzi Wadau Walileta Humu Zipo Zina Elimu ya Ufanyaji Kazi.Naomba elimu. UPWORK ni nini hasa. Inafanyaje kazi?
Kwa jibu hili wala sitothubutuhata kuiwazia hiyo bizness yenyewe.Ndugu Yangu Tembelea Kuna Nyuzi Wadau Walileta Humu Zipo Zina Elimu ya Ufanyaji Kazi.
Hyo Ni kitu Cha Ziada Tu Cha Kutengeneza Pesa Sio Cha Kutegemea.Kwa jibu hili wala sitothubutuhata kuiwazia hiyo bizness yenyewe.
Nakomaa na genge langu la nyanya. Lazima mtakuja tu kununua fungu la dagaa mtake msitake