Not_James_bond
Member
- Sep 10, 2023
- 32
- 81
Distinguish Dkt, Professor, CPA, Engineer,,Nurse, JalalaniHii ndo Tanzania..
Mbunge anaitwa mheshimiwa Engineer Pwagu bin Pwaguzi..
Na CPA nao wameanza...
Kama ambavyo madokta wa Hospitalini walivyobeba taaluma Yao Hadi kwenye siasa na huko wanakuta kuna PhD hadi za mitishamba na zote zimatambulika...
Umesema ukweli sana!mataito mataito ni ujinga tu kama lile malaika la mashetwani lilivyolazimisha udokta mpaka sasa kila mtu anajiita dokta wanaacha kutafuta suluhisho la matatizo lukuki yanayotukabili ikiwemo uchumi wanahangaika nma mataito siju nani sijui nini , wanashangaa kila uchao wanajaaa wachina tu mtaani hawahangaiki na taito wala nini wanapiga biashara na kazi tu.
Ni ushamba wa waandishi wa Tanzania. Utakuta eti Eng... CPA.. Nchi ya hovyo hakuna la maana wanalojua.Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo kwa hawa wahasibu wetu? π