Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

Hayo yote ni kutaka kuficha udhaifu plus ujambazi wa watu kwenye mfumo wa taaluma. Mambo ya kinigeria haya
Na anaejiita hivo unaweza mpeleka nje akashindwa kufanya kazi, CPA yake ni ndani ya mipaka tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo kwa hawa wahasibu wetu? 😃
ushamba tu na ulimbukeni hasa kwa wanasisiem naona wanalitumia sana kwa huyu makalla mwenezi na wengine
 
CPAs wasiotumia initial ya CPA ni wengi kuliko CPAs wanaotumia initial ya CPA.

CPA ni certification inayotambulisha watu wanaoruhusiwa kufunga mahesabu, kusimamia idara za uhasibu au kufanya ukaguzi wa mahesabu kisheria.

Hivyo wakitumia si jambo baya tuwatambue na kuwatumia kwa urahisi

Ugumu wa kupata CPA huchangia wanaoipata kuona faraja kutambulika

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom