Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

B5&C3 zilinipaga changamoto enzi hizo 2016.Lkn nilitoboa.So nawe Mungu akujalie utoboe boss.

Ila maajabu ukija kuipata inayakua ya kawaida Sana,Kuna muda unasahau hata Kama unayo.
Amina ahsante, mimi sina hamu na B1 imenisumbua 2 times, now nafanya C3 kaka ake B1 naogopa πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hua nasahau hata Kama ninayo mkuu.Nikienda kwny seminar za NBAA au kwny ku-update taarifa ofisini ndo hua naikumbuka.
πŸ˜€πŸ˜€ngoja nione nikiipata but sidhani kama ntasahau aisee muda huu ndiyo natoka darasani imagine hadi nifike home ni saa 4 kulala saa 5 kesho kazini mapema aah aisee nikimaliza ntaalika hadi matarumbetaπŸ˜€πŸ˜€
 
Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo kwa hawa wahasibu wetu? πŸ˜ƒ
Kuna jamaa hapa anasema wenye CPA wanapenda kuonekana kama watumiaji wa iphoneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo initials zisikutishe,
Elimu kubwa, matokeo kidogo.
Kuna ambao hawajui hata maana ya CPA,
lakini wana uchumi mkubwa kuliko wewe na vizazi vyako vyote
 
πŸ˜€πŸ˜€ngoja nione nikiipata but sidhani kama ntasahau aisee muda huu ndiyo natoka darasani imagine hadi nifike home ni saa 4 kulala saa 5 kesho kazini mapema aah aisee nikimaliza ntaalika hadi matarumbetaπŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€ Mi nilivyoenda kwny graduation nililala pale pale APC hotel bunju kuanzia J3 mpk siku ya Graduation (jmosi) napiga kinywaji tu kwa Raha zangu tu.

Baada ya kupiga pepa za NBAA ndo nilielewa kwanini watu hua wanasema naenda 'kuchukua' masters.Masters ni piece of cake.Hakuna anayefeli masters.

Ila hakuna lugha ya ninaenda 'kuchukua' CPA πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwenye nchi zilizoendelea hata PhD hajiiti Doctor. Wala huwezi kukuta Engineer, Advocate au CPA ameweka initials mbele ya jina lake na kujiita kuanzia na cheo chake.

Nafasi hiyo amepewa MEDICAL DOCTOR pekee!!

Sababu ya kupewa nafasi hii ni kwamba kukitokea Emergency zozote zinazohatarisha maisha ya binadamu Daktari au anatambulika katika jamii husika ili mtu asipoteze maisha.

Sasa wewe na PhD yako ya Sociology ukijiita Doctor wamarekani wanakushangaa, sembuse Engineer, Advocate na CPA???
 
πŸ˜€πŸ˜€ kwenye zile venues za mitihani kuna AC kali ila bado mtu unasweat afu wanasema tusiweke initials za CPA T... aah waache hizo banaπŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hawaelewi inavyokuaga mle,we jiite kwa raha zako mkuu.Tembea Kifua mbele
Kuna pepa tena ilikua ngumu hiyo , namcheki jirani kwa mbali naona anasoma maswali afu anaguna ile Mmmh anaenda hadi page ya mwisho anarudi mwanzo anavuta pumzi ndefuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nikasema sasa itakuaje kwa mimi mbovu hata hakukaa akaondoka zake akawaachia pepa yaoπŸ˜€πŸ™Œ
 
Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo kwa hawa wahasibu wetu? πŸ˜ƒ
Ushamba tu
 
Na anaejiita hivo unaweza mpeleka nje akashindwa kufanya kazi, CPA yake ni ndani ya mipaka tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Haha ndio maana ya CPA(T) mkuu, maana yake huyo anaweza kufanya kazi ndani ya mipaka ya Tanzania tu, mhasibu anayeweza kufanya kazi kwenye Nchi mbalimbali ni mwenye ACCA tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…