Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

ushamba tu na ulimbukeni hasa kwa wanasisiem naona wanalitumia sana kwa huyu makalla mwenezi na wengine
Kuna rais wa timu moja ya mpira naye lazima wamuite Engineer! Sijawahi kuelewa hiyo Eng. ina mahusiano gani na mpira wa miguu.
 
Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo kwa hawa wahasibu wetu? πŸ˜ƒ
CPA Makala(Mr gugu)!🀣🀣🀣
 
Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo kwa hawa wahasibu wetu? πŸ˜ƒ
Ushamba tu
 
Ugumu wa kupata CPA ni zaidi ya ugumu wa kuwa daktari wa mifugo?
 
Kuna rais wa timu moja ya mpira naye lazima wamuite Engineer! Sijawahi kuelewa hiyo Eng. ina mahusiano gani na mpira wa miguu.
unajua wengi wa ile timu si ndo wale wenye akili ya ki-sisiemu kwa hiyo siyo ajabu
 
Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo kwa hawa wahasibu wetu? πŸ˜ƒ
Inamaanisha wewe ulifeli na marudio pia. Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…