Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nenda kaangalie movie inaitwa "eyes in the sky"Vita ya Ukraine na Urusi na sasa mashambulizi ya Israel huko Gaza na Lebanon, imethibitishwa pasipo shaka kuwa aina za kizamani za zana za kivita, hazina msaada mkubwa kwa sasa.
Matumizi ya "Drone" na zana nyingine za kiupelelezi pamoja na ndege zenye teknolojia za hali ya juu sana, zinafanya mfumo na mitindo ya kupigana vita ibadilike.
Nimeona maelezo haya, yamenitia hofu Sana. Kama ni kweli jee majeshi yetu Afrika yana aina hii ya teknolojia?
View attachment 3132766
Bro hii eyes in the sky,ndio namna wenzetu wanavyofanya wako zao ofisini lakini mnachunguzwa na wanamtaka mlengwa yule wanamtaka bila kumdhuru mtu mwingine asiye na hatia,kuna mtoto muuza mikate alikuwa karibu na nyumba wanamoishi magaidi,yaani?!Nenda kaangalie movie inaitwa "eyes in the sky"
Ile kitu ukitulia kuiangalia unahisi matukio yale yanatokea mtaani kwenu tu hapo.Bro hii eyes in the sky,ndio namna wenzetu wanavyofanya wako zao ofisini lakini mnachunguzwa na wanamtaka mlengwa yule wanamtaka bila kumdhuru mtu mwingine asiye na hatia,kuna mtoto muuza mikate alikuwa karibu na nyumba wanamoishi magaidi,yaani?!
Makomandoo wa karateAskari wa miguu