Matumizi ya "Drone" na zana nyingine za kiupelelezi pamoja na ndege zenye teknolojia za hali ya juu sana, zinafanya mfumo kupigana vita ubadilike

Matumizi ya "Drone" na zana nyingine za kiupelelezi pamoja na ndege zenye teknolojia za hali ya juu sana, zinafanya mfumo kupigana vita ubadilike

Modern warfare has continuously evolved, with technological advancements shaping its conduct. Critical technologies like cyberspace and artificial intelligence (AI) are making new warfighting tools available, even as traditional ones like nuclear weapons are witnessing a resurgence.

Technology plays a pivotal role in modern warfare, enhancing military capabilities, improving strategic planning, and transforming communication systems. In the realm of modern warfare, technology has become an indispensable tool that significantly influences the outcome of conflicts.
 
Kwa hiyo tuseme majeshi yetu afrika ni majeshi ya kizamani yasiyo na zana za kisasa kupigana vita!

WaAfrica bado tuko kwenye zama za Infantry na tanks za kizamani za kirusi au china, tukijitathidi sana angani tuna old Migs na Sukhoi ambazo rahisi kwa hata normal anti-aircraft au artillery kuziangusha.

Modern warfare ni gharama Sana na inahitaji jeshi dogo na technolojia kubwa, hapa inahitaji intelligent officer highly trained kutumika modern weapons.

Siku hizi Infantry ni sweapers na occupiers na sio fighting kwa kiasi kikubwa, drones, aircrafts, modern tanks, nk zikishamaliza kazi ndio unapeleka infantry kufagia tena kwa tahadhari kubwa kuepusha majeruhi + vifo.

Dunia inajaribu kuondoa uhusika wa binadamu front line ili kumlinda binadamu na kujikita kutumika technolojia zaidi.
 
Wakati Hizbollah anamsubiri Israeli ardhini, tayari ameshafanyiwa damage kubwa sana kupitia anga, Askari wengi amepoteza + vifaa, hata Israeli akipeleka Infantry tayari Hizbollah wanakuwa pungufu na vita inaweza kuwa rahisi.
 
Ok, vipi majeshi ya kiafrika yakitumia uchawi wa kiafrika kuloga majeshi adui yashindwe kutumia hizo silaha kali za kisasa? Unawatumia nyuki wa kutosha, mara simba na chui wanaibuka from no where wanawashambulia wanajeshi pinzani, mara unawatumia majini wawachanganye akili washindwe kurusha hizo drone! Nguvu za giza kutumika vitani, hii nayo mbona itakuwa silaha hatari?
 
Kama uchawi kushindwa kutusaidia tusiwe watumwa na kufungwa minyororo na kuzuia yale magobore ya Wazungu hauwezi tena kutusaidia.
 
Vita ya Ukraine na Urusi na sasa mashambulizi ya Israel huko Gaza na Lebanon, imethibitishwa pasipo shaka kuwa aina za kizamani za zana za kivita, hazina msaada mkubwa kwa sasa.

Matumizi ya "Drone" na zana nyingine za kiupelelezi pamoja na ndege zenye teknolojia za hali ya juu sana, zinafanya mfumo na mitindo ya kupigana vita ibadilike.

Nimeona maelezo haya, yamenitia hofu Sana. Kama ni kweli jee majeshi yetu Afrika yana aina hii ya teknolojia?

View attachment 3132766
Hizo nchi zenue hizo teknolojia ndio zinabadili mfumo wa majeshi kupigana hizo nyingine zitaenda zikibadili taratibu kulingana na uwezo wao wa kiuchumi.
 
Back
Top Bottom