Kwa hiyo tuseme majeshi yetu afrika ni majeshi ya kizamani yasiyo na zana za kisasa kupigana vita!
Hili Tunasimama Nalo PopoteOgopa Mungu na Technology..
R.i.P Ruge
Usitutie majaribuni...Kwa hiyo tuseme majeshi yetu afrika ni majeshi ya kizamani yasiyo na zana za kisasa kupigana vita!
Lakini Utuokoe Na Yule MwovuUsitutie majaribuni...
Kwa kuwa ufalme ni wako ee Mungu...πππLakini Utuokoe Na Yule Mwovu
Na Nguvu, Na UtukufuKwa kuwa ufalme ni wako ee Mungu...πππ
Ok, vipi majeshi ya kiafrika yakitumia uchawi wa kiafrika kuloga majeshi adui yashindwe kutumia hizo silaha kali za kisasa? Unawatumia nyuki wa kutosha, mara simba na chui wanaibuka from no where wanawashambulia wanajeshi pinzani, mara unawatumia majini wawachanganye akili washindwe kurusha hizo drone! Nguvu za giza kutumika vitani, hii nayo mbona itakuwa silaha hatari?
Hizo nchi zenue hizo teknolojia ndio zinabadili mfumo wa majeshi kupigana hizo nyingine zitaenda zikibadili taratibu kulingana na uwezo wao wa kiuchumi.Vita ya Ukraine na Urusi na sasa mashambulizi ya Israel huko Gaza na Lebanon, imethibitishwa pasipo shaka kuwa aina za kizamani za zana za kivita, hazina msaada mkubwa kwa sasa.
Matumizi ya "Drone" na zana nyingine za kiupelelezi pamoja na ndege zenye teknolojia za hali ya juu sana, zinafanya mfumo na mitindo ya kupigana vita ibadilike.
Nimeona maelezo haya, yamenitia hofu Sana. Kama ni kweli jee majeshi yetu Afrika yana aina hii ya teknolojia?
View attachment 3132766