fh kwenye beat JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 493 Reaction score 608 Sep 24, 2018 #1 Kwa waliowajuzi na mambo ya mechanics, ni ipi hasara kwa gari ya kuvuta /keep on handbrake ya gari pasipo kuminya button. Na kuvuta handbrake kwa kuminya button.
Kwa waliowajuzi na mambo ya mechanics, ni ipi hasara kwa gari ya kuvuta /keep on handbrake ya gari pasipo kuminya button. Na kuvuta handbrake kwa kuminya button.
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Sep 24, 2018 #2 kwanza bila kuminya button huwa naona inagoma kushuka au kupanda, sasa sijui unazungumzia handbrake gani au zipo za aina nyingi mimi sijui
kwanza bila kuminya button huwa naona inagoma kushuka au kupanda, sasa sijui unazungumzia handbrake gani au zipo za aina nyingi mimi sijui
fh kwenye beat JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 493 Reaction score 608 Sep 24, 2018 Thread starter #3 ISLETS said: kwanza bila kuminya button huwa naona inagoma kushuka au kupanda, sasa sijui unazungumzia handbrake gani au zipo za aina nyingi mimi sijui Click to expand... Namaanisha kupandisha kwa kuminya button moja kwa moja
ISLETS said: kwanza bila kuminya button huwa naona inagoma kushuka au kupanda, sasa sijui unazungumzia handbrake gani au zipo za aina nyingi mimi sijui Click to expand... Namaanisha kupandisha kwa kuminya button moja kwa moja
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Sep 24, 2018 #4 fh kwenye beat said: Namaanisha kupandisha kwa kuminya button moja kwa moja Click to expand... Haya mkuu, subiri wanaojua waje kutoa elimu
fh kwenye beat said: Namaanisha kupandisha kwa kuminya button moja kwa moja Click to expand... Haya mkuu, subiri wanaojua waje kutoa elimu