fh kwenye beat
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 493
- 608
Kwa waliowajuzi na mambo ya mechanics, ni ipi hasara kwa gari ya kuvuta /keep on handbrake ya gari pasipo kuminya button. Na kuvuta handbrake kwa kuminya button.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha kupandisha kwa kuminya button moja kwa mojakwanza bila kuminya button huwa naona inagoma kushuka au kupanda, sasa sijui unazungumzia handbrake gani au zipo za aina nyingi mimi sijui
Namaanisha kupandisha kwa kuminya button moja kwa moja