Matumizi ya handbrake

Matumizi ya handbrake

fh kwenye beat

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
493
Reaction score
608
Kwa waliowajuzi na mambo ya mechanics, ni ipi hasara kwa gari ya kuvuta /keep on handbrake ya gari pasipo kuminya button. Na kuvuta handbrake kwa kuminya button.
 
kwanza bila kuminya button huwa naona inagoma kushuka au kupanda, sasa sijui unazungumzia handbrake gani au zipo za aina nyingi mimi sijui
Namaanisha kupandisha kwa kuminya button moja kwa moja
 
Back
Top Bottom