Matumizi ya hela za EU ni zamu ya Pemba

Nchi inazidi kufeli, hizi ni drama za kujificha kwa kutumia kivuli cha Rais na Urais.
 
Pemba ina wakazi wasiozidi laki tano ila inapokea fedha kwa mabilioni kuizidi hata Dar yenye wakazi karibu milioni saba.

Mlipewa miaka mingi mkazinywia Tusker , sasa kunyweni gongo na mbege, zamu yenu imekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…