Matumizi ya hela za EU ni zamu ya Pemba

Matumizi ya hela za EU ni zamu ya Pemba

Sukuma gang mmefura hatari. Hakuna namna kuweni wapole tu. Sukuma gang sahauni kurudi ikulu tena.
Labda jeshi lichukue nchi lakini sisi wananchi wenye nia njema na tz hatuwezi kuwaachia nchi ukoo wa kikwete habadani
 
SWALI WADAU:
Nilimsikia rais wa huo umoja pesa ilikotoka akisema Tanzania ni kati ya nchi ambayo unufaika na huo mgao.

Ila kuna watu hapa wanamshukuru Rais Samia as kama aliomba au kakasimishwa huo mgao,
Why this?.
 
Pemba ina wakazi wasiozidi laki tano ila inapokea fedha kwa mabilioni kuizidi hata Dar yenye wakazi karibu milioni saba.
Kwani umeambiwa itapata shilingi ngapi? Halafu Dar kwa miaka yote hiyo imepata jumla ya ngapi kuliko mikoa mingine?
 
Mbona yule kichaa alikuwa anapeleka hela Chato bila taarifa lkn hamkusema?

Pemba ni sehemu ya Tanzania acheni ujinga

Yule mwehu alidiriki hata kubeba wanyama toka Serengeti N.P kwenda Chato lkn mlikaa kimya
Umeongea point.
 
Pemba ina wakazi wasiozidi laki tano ila inapokea fedha kwa mabilioni kuizidi hata Dar yenye wakazi karibu milioni saba.
Nyie si mnalazimisha Muungano, ndio gharama zake hizo.
 
Mbona yule kichaa alikuwa anapeleka hela Chato bila taarifa lkn hamkusema?

Pemba ni sehemu ya Tanzania acheni ujinga

Yule mwehu alidiriki hata kubeba wanyama toka Serengeti N.P kwenda Chato lkn mlikaa kimya
Daraja la Busisi linaendelea vizuri sana kwa kweli.
 
Mbona yule kichaa alikuwa anapeleka hela Chato bila taarifa lkn hamkusema?

Pemba ni sehemu ya Tanzania acheni ujinga

Yule mwehu alidiriki hata kubeba wanyama toka Serengeti N.P kwenda Chato lkn mlikaa kimya
Pemba ni sehemu ya nchi ya Zanzibar achen ukipofu.
 
Zanzibar ilipata share yake, pamoja na facts kwamba nusu ya Wazanzibar wameruhusiwa kununua ardhi kuishi kama Watanganyika kamili. Wanaweza kugombea nafasi yoyote bara kuanzia mtaa kijiji, kata, wilaya mkoa, ubunge, uwaziri nk. Hakuna ubaguzi huku.

Angalia sasa huyu SSH anatupeleke wapi?

Angalia issue za umeme, maji,mfumuko wa bei , pembejeo kwa wakulima, tozo, mikopo, Ngorongoro, Bagamoyo, Ndugai, Mbowe anavyowashughulikia wenye mawazo mbadala.

Linganisha na Hussein Mwinyi, kaunganisha nchi, wapinzani kawaleta serikalini, mafisadi anashugulikia nao kama JPM, anajua anataka nini?

Huku bara tumerudisha mafisadi wahuni serikalini, tunayumbayumba kama mlevi wa Gongo. Muungano ni sababu mojawapo yeye kuwa pale, anaturudisha nyuma sana.
Hawajakuambia ni sukuma gang wazee wa sukuma phobia?
 
Itakuwa vizuri, sasa ni wakati wenu wa kupigania sana uvunjike. Marais wote ni wenu. Sisi Watanganyika tutawapa ushirikiano wote unaohitajika. Ni wakati muafaka, hii style ya Muungano imepitwa na wakati.

Sioni harakati zenu kama hapo awali.
Siku za muungano zinahesabika.
 
  • Thanks
Reactions: lum
Nafikiri kwa haraka sana twende kwenye mfumo wa majimbo. Tufikie mkoa ule kwa jasho lake.

Haiwezekani,nasema haiwezekani MBEYA ukasahaurika kiasi hiki. Ona barabara za mbeya,sehemu fupi tu lakini foleni yake sio ya kitoto. Barabara ni hiyo moja tu,inapitisha magari makubwa ya kwenda Zambia,DRC na kwingineko. Bado na magari ya wenyeji hapo hapo.

Ukija kwenye mapato mbeya haiwezi kukosa kwenye big 4 zinazoongoza kwa ukusanyaji wa mapato. Lakini imesahaurika muda mrefu sana. Inapitwa hata na Tabora ambayo ni halmashauri tu. Mwanza kila wakati lazima iguswe

Angalau waipe barabara tu. 4 way,kuanzia hata igurusi mpaka air port hivi kwa kuanzia. Baadae ikiungwa mpaka tunduma ili kuunganishwa mji.
Majimbo ndio mwarobaini.
 
Back
Top Bottom