ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Itakuwa vizuri, sasa ni wakati wenu wa kupigania sana uvunjike. Marais wote ni wenu. Sisi Watanganyika tutawapa ushirikiano wote unaohitajika. Ni wakati muafaka, hii style ya Muungano imepitwa na wakati.
Sioni harakati zenu kama hapo awali.