love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
- Thread starter
- #81
Ngoja tuuzwe.Hii tabia ya kukumbatia uombaomba misaada hii African countries inatulemaza sana mtakua in vicious cycle ya kipumbavu ya umaskini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuuzwe.Hii tabia ya kukumbatia uombaomba misaada hii African countries inatulemaza sana mtakua in vicious cycle ya kipumbavu ya umaskini.
Sukuma phobia inakusumbua hamna lolote.Sukuma gang mmefura hatari. Hakuna namna kuweni wapole tu. Sukuma gang sahauni kurudi ikulu tena.
Nyerere aliipendelea nini Mara?mcheza kwao hutunzwa, go east go west home is the best, no place is sweet like home.
kwa taarifa tuu hakuna binadamu asie pendelea sehemu aliyotokea na hakuna mtu asiyependa watu wa kwao kwanza.
hebu fanya uchunguzi kidogo tuu.
Hawajakuambia ni sukuma gang wazee wa sukuma phobia?
Sawa mganga wake.Wanga na wachawi wana kazi kweli awamu hii.....na hv raisi ndo harogeki watazidi kuteseka
Majimbo + serikali 3Majimbo ndio mwarobaini.
Nyerere aliipendelea nini Mara?
Hata upendeleo unakiwango chake ukizidi unakuwa ni wizi.
Kama bwawa la Nyerere la umeme tu limesimama itakuwa Busisi??!Daraja la Busisi linaendelea vizuri sana kwa kweli.
Hakuna cha phobia. Mtapitia wapi? Ndo basi tena!!Sukuma phobia inakusumbua hamna lolote.
SUKUMA PHOBIA.Hakuna cha phobia. Mtapitia wapi? Ndo basi tena!!
Mnatia huruma sana. Maana ule mzimu wenu mliutukuza kuliko Mungu. Ukafyekelewa mbaliSUKUMA PHOBIA.
SUKUMA PHOBIA.Mnatia huruma sana. Maana ule mzimu wenu mliutukuza kuliko Mungu. Ukafyekelewa mbali
Zanzibar ilipata share yake, pamoja na facts kwamba nusu ya Wazanzibar wameruhusiwa kununua ardhi kuishi kama Watanganyika kamili. Wanaweza kugombea nafasi yoyote bara kuanzia mtaa kijiji, kata, wilaya mkoa, ubunge, uwaziri nk. Hakuna ubaguzi huku.
Angalia sasa huyu SSH anatupeleke wapi?
Angalia issue za umeme, maji,mfumuko wa bei , pembejeo kwa wakulima, tozo, mikopo, Ngorongoro, Bagamoyo, Ndugai, Mbowe anavyowashughulikia wenye mawazo mbadala.
Linganisha na Hussein Mwinyi, kaunganisha nchi, wapinzani kawaleta serikalini, mafisadi anashugulikia nao kama JPM, anajua anataka nini?
Huku bara tumerudisha mafisadi wahuni serikalini, tunayumbayumba kama mlevi wa Gongo. Muungano ni sababu mojawapo yeye kuwa pale, anaturudisha nyuma sana.
nimesema fanya uchunguzi kidogo wewe umeingia ndani sana,Nyerere aliipendelea nini Mara?
Hata upendeleo unakiwango chake ukizidi unakuwa ni wizi.
Watu wa kanda hiyo wakipewa vyeo wanakuwaga wanoko na kujifanya wazalendo sana, wanasahau kuwa kazi za serikali ni sawa na kutumiwa kama condom, ni za muda tu.Watu wa Kigoma ni washamba na wapuuzi Sana.Wako.wengi serikalini,wasanii,Wana michezo,wanasiasa na mawaziri hadi vp lakini hadi kesho kwao kumejaa mavumbi.
Hawapendi kwao sijui Wana shida gani,toka enzi za Mwendazake wamejaa kwe cabinet lakini hopeless kabisa..
Kama hawajui lobbying na hawajali kwao nani wa kuwasemea?
Nimefanya uchunguzi nikakuta Nyerere, Mwinyi, na Mkapa hawakupendelea kwao kwa namna yoyote.Mtu kwao, hata JIWE aliipendelea chato.
Aliipendelea kwa namna ipi hiyo?nimesema fanya uchunguzi kidogo wewe umeingia ndani sana,
ok aliipendelea Tanganyika kuliko zanzibar ndiyo maana sasa jambo likifanyika zanzibar tunashtuka lakini pia alikipendelea chama cha mapinduzi kuliko vyama vingine katika uchaguzi wa 1995
kuliwahi kusikika sauti zikinongona aliwapendelea wa waumini wa Roman Catholic church mpaka akatoka hadharani na kukanusha jambo lile.
hata police wengi wakati wa uongozi wake walitoka kanda ya ziwa.
but hakuwa mbinafsi kwa kweli Kama viongozi waliomfuata, aliupenda ujamaa hasa mpaka tukawa na maduka ya ushirika mashamba yakulima pamoja n.k R.I.P MJAMAA WA KWELI.
Mwinyi huyu aliyeuza loliondo kwa waarabu?Nimefanya uchunguzi nikakuta Nyerere, Mwinyi, na Mkapa hawakupendelea kwao kwa namna yoyote.