Matumizi ya Internet ni haki yako; tumia kwa manufaa ya wengi

Matumizi ya Internet ni haki yako; tumia kwa manufaa ya wengi

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
IMG_20210727_184248_927.jpg
Baraza la Haki Za Binadamu la Umoja wa Mataifa mwaka 2016 lilitambua Intaneti (Internet) kuwa ni Haki ya kila mtu.

UN inatambua, kila mtu ana Haki ya kupata na kutumia Intaneti bila ya kujali kipato chake, eneo alilopo na hali yake ya mwili (ulemavu au la).

Hata hivyo Jamii Forums inakukumbusha kutumia Haki hiyo kwa manufaa yako na ya wengine.

=====

Universal and equal access People should be able to access the Internet regardless of their income, their geographical location or their disabilities.

The UN Human Rights Council recognises in a report that the right of access is essential to freedom of opinion.
 
Back
Top Bottom