Matumizi ya kiingereza: "Somehow" na "Somewhat"

Ninatokea jimbo la Missouri (linatamshwa kama neno la kiswahili: "Mizuri"), lakini siku hizi niko mbali kikazi.
Nayo mkubwa mkuu sema wapi, Jefferson city, maeneo ya gateway arch au silver dollar city?
 
Nayo mkubwa mkuu sema wapi, Jefferson city, maeneo ya gateway arch au silver dollar city?

Je umefika kwetu Missouri? Au umefanya googling kupata majina ya maeneo hayo? Missouri Kote nimeishi vipindi mbalimbali maishani mwangu.
 

Somehow is used to refer to a way that has not been specified.
This will become clearer from the following examples-
  1. Sally somehow managed to be there on time (meaning Sally was there on time but 'how?' hasn't been specified)
  2. I am sure it will all work out somehow. (meaning I am sure it will all work out but I don't know how)
Somewhat-
Although somewhat has the same first four letters as somehow, it is not used to refer to unknown information. Instead it means 'a little or to a small degree. Examples are-
  1. This guy's answer is somewhat confusing. (meaning that the answer is a little confusing)
 
Agreed 100% tatizo jf wengi form6 kushuka chini.

Hapo wamevurugwa kabisa.tehe tehe tehe.. Sisi wahaya tulisoma buana..unigambire stupid in front of my wife??
 
Je umefika kwetu Missouri? Au umefanya googling kupata majina ya maeneo hayo? Missouri Kote nimeishi vipindi mbalimbali maishani mwangu.
Sijaishi mkuu ila namfahamu anayeishi huko. Labda uniambie unakaa mtaa gani nimwulize kama anapajua
 
Sijaishi mkuu ila namfahamu anayeishi huko. Labda uniambie unakaa mtaa gani nimwulize kama anapajua
Napendelea kutokusema jina la mtaa lenyewe, lakini ukinitambulisha kwake rafiki yako, nitapenda kuongea naye.

Ulitoka America ukiwa mchanga, ukakulia umatumbini?

Hapo sijakuelewa... najua mchanga ni kile unachokikuta baharini. Unauliza kama nimewahi kula tumbo?

Nafikiri tumetoka mbali na somo la kiingereza. Tafadhali turudi, jamani.
 
Basi hamna shaka mkuu
 

Namna gani ikiwa mtu akisema "Somehow it is cold today", akimaanisha kwa namna fulani leo kuna baridi. Akimaanisha baridi wakati wa msimu wa joto ama mahala ambapo kwa kawaida hapapashwi kuwa baridi. Kwa lugha nyingine hamaanishi kiwango cha baridi bali aki refer namna ilivyotokea kukawa na baridi.

Au akasema "Somehow it is a problem", kwa kumaanisha kwamba suala analoliongelea katika hali ya kawaida siyo tatizo lakini kuna namna fulani linaweza kuleta tabu kwa upande mwingine. Au a kwalugha nyingine akawa hana maana ya ukubwa ama kiwango cha tatizo bali ni kwamba kwa namna fulani hilo suala ni tatizo.

?
 
Mmarekani, sawa naona unajua kweli kkmarekani. Mchawi
 


Kwa mfano wako wa kwanza:

Nasikia unachokisema. Wakati wa msimu wa joto, kuna siku ya baridi. Wote wanashangaa. "Somehow, it was cold today" inakubalika. Nikupe jinsi nyingine kusema hiyo, lakini: "Strangely, it was cold today". Hilo neno "strange" linamaanisha kwamba hali ya kitu unachokiongelea siyo ile ya kawaida.

Mfano wako wa pili:

Tena nakusikia! Kwa kawaida, hilo suala unaloliongelea siyo tatizo, lakini leo limekusumbua. "Somehow, it was a problem" inakubalika. Lakini, badala ya hiyo, labda tuseme "Unusually, it was a problem". Hilo neno "unusual" linamaanisha kwamba tukio lililojitokeza siyo ya kawaida, kama "strange".

Haya maneno mawili "strange" na "unusual" yanafanana sana kwa maana. Tumia lo lote.
 
Na wewe ni mmarekani mkuu? Mmarekani katufundisha kidhungu kwa kiswahili fasaha.
 
Sawa ndugu. Hizo zinaitwa,"Common mistakes in English." zinafanyika kote hata ukienda nchi nyingine. Mfano kuna matumizi yasiyo sahihi ya maneno, "Since" na "From".
 
Tanzania tunafundishwa RP yani received pronounciation au BBC yani kutoka london ambacho ndo kimekuwa articulated in most eligible materials of english na ndo official language kwa Tanzania..... Madam umesema wamarekan wanatumia somewhat wapo sahihi kwao lkn mbele ya Waingereza kuna makosa, kwa hiyo basi kuna kitu kinaitwa language varities ndo hicho unachokiona kene somewhat lkn kiusahihi ni somehow....... Source oxford dictionary
 

Ndiyo kuna matofauti kati ya kiingereza cha marekani na kile cha uingereza, hasa kwenye mwandiko (colour vs color) na mtamsho (aLUminum vs aluMINium). Lakini nafikiri mwingereza angekubali nami kuhusu hilo jambo la "somewhat" na "somewhere". Hilo ni jambo la definition na matumizi ya neno, siyo la mtamsho au mwandiko.
 
Lkn tatizo hujaja na facts wala source zozote za kusuport unachosema. ..sababu ukisema wewe tu ndo umegundua siwezi kukubaliana na wewe hata asilimia moja otherwise weka source then aknowlegde .....au taja source nasi turefer
 
Lkn tatizo hujaja na facts wala source zozote za kusuport unachosema. ..sababu ukisema wewe tu ndo umegundua siwezi kukubaliana na wewe hata asilimia moja otherwise weka source then aknowlegde .....au taja source nasi turefer

Tusome article hii: https://www.quora.com/What-is-difference-between-somewhat-and-somehow

Somehow is used to refer to a way that has not been specified.
Somehow linatumika kurejea jinsi ambayo haijatajwa

Although somewhat has the same first four letters as somehow, it is not used to refer to unknown information. Instead it means 'a little or to a small degree.
Yapokuwa somewhat lina herufi nne za kwanza zile zile na somehow, halitumiki kurejea taarifa ambazo hazijulikani. Badala ya hiyo, lina maana 'kidogo au kiasi kidogo'
 

Ili mradi tu nisitumie somehow au somewhat? Haya maneno yanamatumizi moja tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…