CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Nimeelewa vizuri sana, nimeisoma na malalamiko yenu ya kijinga nimeyaelewa.Sidhani kama umeelewa mada, rudia kusoma upya, ndo uje na hoja za akili mbugila wewe
Kwa akili yako unahisi maswali yataulizwa kwa kiswahili tupu bila kuweka misamiati ya kiingereza au sio?? Basi haipo hivyo, nakupa mfano mwaka 2003 nilikuwa Afrika Kusini, nilikuwa nafanya kazi na Makabulu, wale jamaa wanatumia Kiafrikaans zaidi ya Kiingereza ingawa wanajua hiko Kiingereza.
Usaili unapofanya unaulizwa kwa Kiingereza na wakati huo, utajibu kwa kiingereza na ukiweza unachanganya na Lugha zao zile Rasmi, kama kizulu, kiXhosa nk.
Kinachofanyika, unapoulizwa swali, utalijibu vyoyote uwezavyo, lkn kwenye kuelewesha unaruhusiwa kutumia Kiswahili ambacho umekizoea katika kutoa maelezo ya kitu fulani. Ikumbukwe kwenye usaili sio wote waliokuwa kwenye PANEL wamesomea kile ulichotakiwa kuajiriwa hivyo kutumia kiswahili kutawapa pia urahisi zaidi wa kuelewa hiko kitu.
Lkn pia unayeulizwa unakuwa na uwanja mpana sana wa kuelezea kitu kwa mifano rahisi nk.