Matumizi ya kungu

Matumizi ya kungu

aaah! Yale yanayopendwa na popo sijui ndo maana huwa anasinzia mchana?!!

Popo ala matunda mengi bi dada sasa sijui weye wayaelezea yapi hayo?

Maana popo pia hula sana zambarau nazo zina mtindo wa kulewesha kama ukizila kwa wingi...

Huwa ala mabibo ambayo nayo huwa yana kawaida ya kulewesha...
 
tatizo watu mnapenda masihara.mtu anapouliza kitu badala ya kutoa msaada nyie mnaleta matani.toeni msaada jamani ni muhimu

Usilalame bure wakati swali lako halijitoshelezi.
Unaulizia kungu alizozieleza watu8 au kungu manga?
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa... Kuna wamama balaa wanatengeneza hizo kungu zinakuwa kama kashata tamujeeee.... Mara nyingi kwenye kitchen party huwa wanagawa!!
 
Vina ladha fulani ya peke yake!!!
Enzi hizo ukinikuta nabanjua kokwa za kungu huniinui!!!!

Sah nimeimiss miaka ile

Shurti chini ya mkungu kujizolea na kula,

Kazi ni kukwepa maduduwasha tu
 
Kuna kungu aina mbili. kuna kungu tunda linalo chumwa mtini, hili ni la kawaida tunda kama matunda mengine.

Alafu kuna kungu ile wanayotumia wadada hasa wa pwani kama Tanga, Zanzibar hata bara pia watumiaji wameongezeka, hii sio tunda bali ni madini inayopikwa wenyewe wanajua zaidi na inakua kama kashata yenye kung'ara, hii ukila ndo inaregeza macho, inachosha mwili na kumfanya mwanamke aonekane ni mwenye hisia nyingi, na wanatumia ili kumvutia mwanaume, hamna kazi ingine zaidi ya hiyo, km vile mwanamke akivaa shanga kiunoni wala haina faida yyte kwake illa ni kwa lengo la kumvutia mwanaume.

Lakani hii yote ni kwa wale wenye mawazo ya kingono ngono ndo itamvutia, wale wa kuangalia sana muvi za ngono alafu anataka amjaribie mkewe au demu wake wakati wale wanafanya mazoezi mtu kabinuliwa unataka kumbinua mpenzi wako utamvunja kiuno.

Tuacheni mawazo ya ngono, mwanaume asie na mawazo hayo wala hawawezi kushawishika na shanga wala hizo kungu, au sijui bikini, akah, bibi zetu hawakuvaa hizo bikini lakana mbona babu zetu walikua wakivutiwa sana na wanawake wao?

wanaume wote, tuacheni mawazo ya ngono na tufatilie yale yaliokua muhimu kwenye maisha yetu. ni hayo tu
 
Kuna kungu aina 2,ya kwanza ni tunda ambalo ni tamu sana kiukwel nahisi hilo sio unalolilenga,kuna hili la 2 kungu cjui inatokana na nin ipo cna uhakika kama na yenyewe inachumwa,hi ni special kwa mapenzi inapatkana sokon kawaida,au hapo ulipo kama kuna maduka ya waarabu unaweza kupata.MATUMIZI; twanga kungu yako kwenye kinu cha jikon then changanya kwenye chai ya maziwa au maziwa then kunywa itakua imefanya kazi unayotaka,unaweza weka hata kijiko kimoja kwenye themosi nzima.ANGALIZO usizidishe coz itakulewesha kama mlevi na utaishia kulala hata hyo hamasa unayotaka kumpa mpnz wako ikakosekana.NB mnaweza kunywa wote wawili yani KE na ME,thn mtakua ready 4 sex!hata kama hamtaki mtafanya tu.
 
Mti wake una kivuli kizuriiiiiiiii.

Nime offer maelezo hata kama sikuulizwa.
 
Kuna kungu aina 2,ya kwanza ni tunda ambalo ni tamu sana kiukwel nahisi hilo sio unalolilenga,kuna hili la 2 kungu cjui inatokana na nin ipo cna uhakika kama na yenyewe inachumwa,hi ni special kwa mapenzi inapatkana sokon kawaida,au hapo ulipo kama kuna maduka ya waarabu unaweza kupata.MATUMIZI; twanga kungu yako kwenye kinu cha jikon then changanya kwenye chai ya maziwa au maziwa then kunywa itakua imefanya kazi unayotaka,unaweza weka hata kijiko kimoja kwenye themosi nzima.ANGALIZO usizidishe coz itakulewesha kama mlevi na utaishia kulala hata hyo hamasa unayotaka kumpa mpnz wako ikakosekana.NB mnaweza kunywa wote wawili yani KE na ME,thn mtakua ready 4 sex!hata kama hamtaki mtafanya tu.

ahsante sana kwa darasa nimelielewa
 
Back
Top Bottom