Ya kweli hayo?unaichukua kungu unaikatakata vipande vidogovidogo unaichemsha kisha unakula na mchuzi wake !!
acha masihara yakhe.tueleweshe wenzio unajua
aaah! Yale yanayopendwa na popo sijui ndo maana huwa anasinzia mchana?!!
hilo peasi ama mung'Unya??ama ndo toke lenyewe!
Nazipenda sana alafu na kokwa yake ukivunja mna kijidude flani tamuu hicho
Kama kungu hii pia tunatumia kama spice kwenye ladoo ama keki pia tunaweka kidogo
tunaviitaga karanga hivyo!!
Vina ladha fulani ya peke yake!!!
Enzi hizo ukinikuta nabanjua kokwa za kungu huniinui!!!!
Vina ladha fulani ya peke yake!!!
Enzi hizo ukinikuta nabanjua kokwa za kungu huniinui!!!!
Sah nimeimiss miaka ile
Shurti chini ya mkungu kujizolea na kula,
Kazi ni kukwepa maduduwasha tu
tatizo watu mnapenda masihara.mtu anapouliza kitu badala ya kutoa msaada nyie mnaleta matani.toeni msaada jamani ni muhimu
Hahaaaa... Kuna wamama balaa wanatengeneza hizo kungu zinakuwa kama kashata tamujeeee.... Mara nyingi kwenye kitchen party huwa wanagawa!!
Kuna kungu aina 2,ya kwanza ni tunda ambalo ni tamu sana kiukwel nahisi hilo sio unalolilenga,kuna hili la 2 kungu cjui inatokana na nin ipo cna uhakika kama na yenyewe inachumwa,hi ni special kwa mapenzi inapatkana sokon kawaida,au hapo ulipo kama kuna maduka ya waarabu unaweza kupata.MATUMIZI; twanga kungu yako kwenye kinu cha jikon then changanya kwenye chai ya maziwa au maziwa then kunywa itakua imefanya kazi unayotaka,unaweza weka hata kijiko kimoja kwenye themosi nzima.ANGALIZO usizidishe coz itakulewesha kama mlevi na utaishia kulala hata hyo hamasa unayotaka kumpa mpnz wako ikakosekana.NB mnaweza kunywa wote wawili yani KE na ME,thn mtakua ready 4 sex!hata kama hamtaki mtafanya tu.