Ndio ni kizuri mwenyewe na kitumia, lakn bleed yale sasa ndo shughuli. Kwanza nyngi pili unaenda siku nyng had 8 halafu mzunguko hauelewekisiku nyengine tumieni kitanzi/'loop' ni nzuri (haiingiliani na mfumo wa homoni) ila uwekaje wake sasa ndo ishu.
Kitanzi ni kizuri sana ila kina masharti makubwa. Kwanza kinahitaji usafi wa hatari na hakitaki mpango wa nje kwa mwanamke na mwanamme. Ina maana mke awe mwaminifu na mune vivyo hivyo la sivyo ataumwa sana tumbo mpaka akitoe.siku nyengine tumieni kitanzi/'loop' ni nzuri (haiingiliani na mfumo wa homoni) ila uwekaje wake sasa ndo ishu.
Pole sanaDah juzi tu wife ameweka hio kitu
Du,sasa hii kali yaani hujapata mtoto unapanga uzazi ,unajuaje kama una huo uzazi?Pole, bora yenu nyie mna watoto. Kuna wengine wanakurupuka tu,mtu hana mtoto anaanza tumia njia za uzazi wa mpango sababu hajajiandaa kupata watoto. BAADAE INAKUA MAJUTO TUPU.
Kweli kabisa inategemea na mwili wa mtu hizi dawa ni hormones ambazo zinatengezwa kwa aina ambayo itatofautiana kidogo na utaratibu wa kawaida wa mwili wa Mwanamke na kumfanya asiweze kushika ujauzito,kama ilivyo kawaida ya kila dawa lzm kuwe na side effects au maudhi madogo madogo,km kuona hedhi kidogo au nyingi,kichwa kuuma,kunenepa,mood change na sometimes delay fertility baada ya kuacha kutumia! Kwa ufupi sio kila side effect ya dawa itampata kila mtu anayotumia dawa husika na muda wote mfano dawa ya Chloroquine iliyokuwa inatumika kutibu malaria ilikuwa ina side effect ya mwili kuwasha ila si kila mtumiaji alikuwa anawashwa,wengi tumetumia Flagyl hv tunajua inasababisha mtu kukojoa mkojo kama umechanganyika na damu?ila ni wachache wanaopata tatizo hili lkn ni moja ya side effect,kwa kuhitimisha njia za Uzazi wa mpango ni Salama ila kwa kuwa ni dawa huwa zina side effect kama dawa nyingine na sio kwamba watumiaji wote watapata side effect zinazolingana!Hii inategemea Na mwili wa mtu ,Mimi niliwahi kuweka Na Mara baada ya kutoa tu sikuchukua muda mrefu kupata ujauzito.ninadhnai Ni vyema ukiwaona wataalamu kabla hujaamua kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango .
Ni sawa kabisa hakuna dawa isiyo na side effect lkn sio kila mtumiaji wa dawa lzm apate hizo side effects cha muhimu ni kufahamu kila kitu kuhusu dawa ya uzazi wa mpango husika then wewe mwenyewe ukubali kupata hiyo Huduma (informed choice) sio kulazimishwa mm nimeona akina mama wengi wako kwenye njia za uzazi wa mpango bila matatizo yeyote ni wachache sana!na kama zingekuwa zina madhala kwa watu wengi am sure wala serikali isingeziruhusu ziendelewe kutolewa!narudia tena hakuna dawa isiyo na side effect.Nikwambie tu kuna rafiki yangu daktari bingwa wa wanawake aliwa kuniambia usije mruhusu mkeo atumie hayo mambo ya kupanga uzazi kwani hakuna dawa hata moja ambayo haina madhara zote zina madhara, kuna baadhi ya wanawake wanaenda period mpk mwezi na ikikata anaweza kukaa hata miezi sita bila period! Wengine akibeba kitu kizito tu hata ndoo ya Lita 20 anaanza bleed kifupi hazifai
kwenye red rekebisa, binafsi nikutakie pole saana, lakn haimaanishi kuwa eti kwa sababu ya lalamiko lako tu basi tuone haifai labda mpaka pawe na cases nyingiHabari Wadau,
Mimi nimeowa na tumebahatika kupata watoto wawili katika ndoa,baada ya hapo tuliamua kutumia njia za kupangza uzazi(Kitiji) kwa sababu kadha wa kadha,ni kweli tulifanikiwa kufanya hivyo kwa muda wa miaka miwili na miezi saba.
Baada ya hapo ukawa ni muda muafaka kupata mtoto tena!Cha ajabu na kusikitisha ni miezi 10 sasa tangu ametoa hicho kijiti na hakuna mafanikio yoyote.
Tumejaribu kuwaowa wataalam katika hospitali mbalimbali bila mafanikio japo bado hatujakata tamaha.Nimeona ni bora niwafahamishe wadau msije rudia makosa kwani wakati ukiwa unawacosult family plan wanakushawishi kwa kusema utakapo hitaji mtoto ukitoa tu unapata kitu ambacho si kweli,kuna watu wengi tu wamenishuhudia shida kama hii.
Kuweni makini
Kweli nawaambia kitanzi sio kizuri. Pole sana kwa kupotelewa na dada yako.Madaktari wenyewe wanasema njia hizo za uzazi sio nzuri ukitoa condoms, withdrawal n calendars. Though hayo wanasema pembeni sio wakat wakiwa ma makoti yao meupe.
Kitanzi kilimletea matatizo dada angu mpaka akatangulia mbele za haki.
Nimejifunza jambo hapa.... Asante sana....Mimi nijuavyo njia za kupanga uzazi ni nyingi. Kuna za kiasili mama anatengana na mume wakati mtoto ni mdogo. Kuna vidonge (pills) vyenye hormones za progesterone zinazomezwa kila siku katika mzunguko wa siku za mwanamke zinazozuia yai kupevuka na mimba kutunga. Pia iko dawa ya sindano inayochukua muda mrefu hadi miezi sita. Nyingine ni hiyo unayoiita kijiti (loop). Hii loop sio contraceptive ila ni abortficient. Mwanamke mwenye loop anapata mimba kila wakati lakini mazingira yaliyo tengenezwa na loop ndani ya kizazi yanafanya ishindwe kukaa na itoke ikiwa bado changa sana. Mimba zikitoka kunakuwa na damu nyingi kupita kawaida ya Mp ya mwanamke. Kizazi kikizoea utaratibu huu wa mimba changa kutoka hali hiyo huendelea hata baada ya kutoa loop na kuleta ugumu wa kupata mimba kwa wanawake wengi wanaotumia njia hii ya uzazi wa mpango.
Ukijaribu kugoogle na kusoma madhara ya uzazi wa mpango sehemu zilizo nyingi wanaandika kwa baadhi ya watu hizo dawa huwa zinamalizika nguvu baada ya kuacha kutumia ndani ya mwaka na kuendelea baada ya hapo mtu anaweza kuendelea na siku zake kama kawaida.
Hivyo kwa kuwa bado dawa iko mwilini nadhani sio vibaya akawa anakunywa maji kwa wingi ili kuipunguza nguvu.
Sio ya uhakika Sana , Na wengine hushindwa kuzingatiaMimi sipo kwenye ndoa.
Nimetanguliza kusema hivyo ili watu waeleze uhalisia ulivyo katika hili ninalotaka kutaja hapa chini.
Kwani ikitumika njia ya asili ya kutazama kalenda i akuaje?
Nadhani ndo njia pekee ambayo haina madhara kiafya
Pili vipi kwa njia ya kuchopoa linapokuja?
Asante mkuuKweli nawaambia kitanzi sio kizuri. Pole sana kwa kupotelewa na dada yako.
Du,sasa hii kali yaani hujapata mtoto unapanga uzazi ,unajuaje kama una huo uzazi?
Wewe upo kama mimi, nimeweka mwaka jana mwezi wa tano... ila kwa sasa nataka kukitoaNdio ni kizuri mwenyewe na kitumia, lakn bleed yale sasa ndo shughuli. Kwanza nyngi pili unaenda siku nyng had 8 halafu mzunguko haueleweki
Ngoja nikatoe changuKweli nawaambia kitanzi sio kizuri. Pole sana kwa kupotelewa na dada yako.