Matumizi ya madawa/vitanzi vya kupanga uzazi ni hatari

yap tatizo langu lilikua nakosa period nakaa saana hadi miezi mitano mwili uliongezeka uzito saana coz kwa baadhi ya wanawake zinaongeza hamu ya kula kwa hiyo unajikuta mwili unaongezeka na huwa zinapoteza hamu ya kusex zinasabaisha kichwa kuuma saana. ndipo nikaamua kutoa nikakaa miezi mitano alhamdulillah nimebeba mimba
Watoa huduma huwa wanawambia akina mama kuwa njia zote za uzazi wa mpango huwa zina maudhi madogo madogo ni kawaida ila yakizidi huwa natoa wanakupa ushauri utumie njia nyingine ambayo haitakusumbua.
ila njia nzuri kabisa ya mzazi wa mpango ni :-kalenda,kondom,kitanza
huwa hazina maudhi.
 
Habari wadau,

Mimi nimeoa na tumebahatika kupata watoto wawili katika ndoa, baada ya hapo tuliamua kutumia njia za kupanga uzazi(kitiji) kwa sababu kadha wa kadha, ni kweli tulifanikiwa kufanya hivyo kwa muda wa miaka miwili na miezi saba. Baada ya hapo ukawa ni muda muafaka kupata mtoto tena.

Cha ajabu na kusikitisha ni miezi 10 sasa tangu ametoa hicho kijiti na hakuna mafanikio yoyote. Tumejaribu kuwaona wataalam katika hospitali mbalimbali bila mafanikio japo bado hatujakata tamaa.

Nimeona ni bora niwafahamishe wadau msije rudia makosa kwani wakati ukiwa unawacosult family plan wanakushawishi kwa kusema utakapohitaji mtoto ukitoa tu unapata kitu ambacho si kweli, kuna watu wengi tu wamenishuhudia shida kama hii.

Kuweni makini
Ujumbe wako ni hatari Zaidi kuliko hivyo vidonge vya uzazi wa mpango.
unapaswa kusoma kwanza kabla ya kufanya maamuzi yeyote makubwa ktk maisha yako, naamini hukufanya hivyo!
unajua kuwa kuna nyumba kadhaa zimeungua kwa itilafu za umeme, je ni sawa kuwaasa watu wasiendelee kutumia umeme kwa kuwa nyumba yako iliungua?
Nadhani taadhali ya msingi ingekuwa kueleza chanzo cha hitilafu, measure ulizochukua zikafeli au just ku-alert watu nini cha kufanya wasiunguliwe nyumba!
ukiondoa matangazo ya TV, katika kliniki za uzazi wa mpango, kama ulifuatana na mkeo, baada ya ile elimu wanayotupa kwa pamoja, huwa inafuata elimu ya mmojammoja pale unapoifikia huduma, hapo huwa unaelezwa vema Zaidi na unapatiwa tahadhali zote, mimi nilisomeshwa na mke wangu!
lakini pia kama ungekuwa makini, kabla ya uamuzi wako ungesoma juu ya hizo dawa za uzazi wa mpango (contraceptive pills) utaona kuna madhara kwa baadhi ya watu, na kuna njia tofauti kwa kadri utakavyoona ina faa ili kukuepusha na madhara husika! hili la kukosa siku, kuchelewa au kutoka kidogo au nyingi hasa muda mfupi baada ya kusimamisha utumiaji wa vidonge au sindano limeelezewa.
lkn pia kuna natural methods au condom kama njia pia za kukukinga na ujauzito!
kuna watu bado wanahitaji huduma hii sio tu kwa ajili ya ku-control idadi ya watoto, lkn wapo ambao uwezo wao wa akili ni mdogo kama wale wenye mtindio wa ubongo wanaweza kuzalishwa tu na mabaradhuli na familia ikaingia gharama, wapo wenye matatizo mengine ya kiafya na wasiwe na utayari wa kuzaa kwa kipindi Fulani, lkn pia huwa zinatumiwa na watu waliobakwa ili kuwakinga mimba isiingie baada ya tendo hilo ovu!
kusema kwako ni kitu hatari nadhani ni hatari Zaidi ya mkeo kuchelewa kupata siku zake!
lakini mwisho naomba nikushutumu wewe na wanaume wengine kama wewe, masuala ya uzazi tusiwasakizie tu wake zetu, tusaidiane nao, ikiwemo kwenda nao kwa watalaam ili tupate maelekezo pamoja, tusome nao kuhusu issues husika ili tukiamua tunajua madhara au faida tuzipatazo!
kila njia ina faida na hasara zake, so mngekuwa wote na ungekuwa keen enough ungetaka kujua kila njia, faida na hasara zake!
all in all, statement yako ni ngumu sana na ni hatari kwa huduma za jamii!
 
Bora mmeleta hii mada hapa maana na mm nimeshinikizwa sana nimkubalie aende aweke hizo dawa sasa nasema kwa sauti ya Trump "HAKUNA KUWEKA KITANZI WALA VIJITI"
 
Kile kijiti kinachowekwa kwenye mkono ndiokitanzi?
 
Very kin,,,,
 
Ukijaribu kugoogle na kusoma madhara ya uzazi wa mpango sehemu zilizo nyingi wanaandika kwa baadhi ya watu hizo dawa huwa zinamalizika nguvu baada ya kuacha kutumia ndani ya mwaka na kuendelea baada ya hapo mtu anaweza kuendelea na siku zake kama kawaida.
Hivyo kwa kuwa bado dawa iko mwilini nadhani sio vibaya akawa anakunywa maji kwa wingi ili kuipunguza nguvu.
Wewe umesomea wapi? Nna mashaka na elimu yako! Kwa ufupi tu huna shule
 
Haya mambo ya kuiga hayatakaa kukosa madhara. Tena ni aheri ukose uzazi kuliko kuambulia kansa. Sisi hakuna mahali huwa tunatafiti jambo kwa kina kabla ya kuliendea. Kuna njia salama sana na za asili za kupanga uzazi na mababu na mabibi zetu walitumia na zinaelekezeka bila hata kwenda darasani. Sasa haya mambo ya vidonge, vijiti, vitanzi ni kutaka kushindana na asili ya maumbile. Mungu atunusuru na majanga ya hizi teknolojia tunazoletewa na kupandikiziwa bila kutahadharishwa madhara yake. Kikubwa sisi kama wahanga tushtuke na kurejea kwenye asili zetu.
 
Ujumbe wako ni hatari Zaidi kuliko hivyo vidonge vya uzazi wa mpango.
unapaswa kusoma kwanza kabla ya kufanya maamuzi yeyote makubwa ktk maisha yako, naamini hukufanya hivyo!
unajua kuwa kuna nyumba kadhaa zimeungua kwa itilafu za umeme, je ni sawa kuwaasa watu wasiendelee kutumia umeme kwa kuwa nyumba yako iliungua?
Nadhani taadhali ya msingi ingekuwa kueleza chanzo cha hitilafu, measure ulizochukua zikafeli au just ku-alert watu nini cha kufanya wasiunguliwe nyumba!
ukiondoa matangazo ya TV, katika kliniki za uzazi wa mpango, kama ulifuatana na mkeo, baada ya ile elimu wanayotupa kwa pamoja, huwa inafuata elimu ya mmojammoja pale unapoifikia huduma, hapo huwa unaelezwa vema Zaidi na unapatiwa tahadhali zote, mimi nilisomeshwa na mke wangu!
lakini pia kama ungekuwa makini, kabla ya uamuzi wako ungesoma juu ya hizo dawa za uzazi wa mpango (contraceptive pills) utaona kuna madhara kwa baadhi ya watu, na kuna njia tofauti kwa kadri utakavyoona ina faa ili kukuepusha na madhara husika! hili la kukosa siku, kuchelewa au kutoka kidogo au nyingi hasa muda mfupi baada ya kusimamisha utumiaji wa vidonge au sindano limeelezewa.
lkn pia kuna natural methods au condom kama njia pia za kukukinga na ujauzito!
kuna watu bado wanahitaji huduma hii sio tu kwa ajili ya ku-control idadi ya watoto, lkn wapo ambao uwezo wao wa akili ni mdogo kama wale wenye mtindio wa ubongo wanaweza kuzalishwa tu na mabaradhuli na familia ikaingia gharama, wapo wenye matatizo mengine ya kiafya na wasiwe na utayari wa kuzaa kwa kipindi Fulani, lkn pia huwa zinatumiwa na watu waliobakwa ili kuwakinga mimba isiingie baada ya tendo hilo ovu!
kusema kwako ni kitu hatari nadhani ni hatari Zaidi ya mkeo kuchelewa kupata siku zake!
lakini mwisho naomba nikushutumu wewe na wanaume wengine kama wewe, masuala ya uzazi tusiwasakizie tu wake zetu, tusaidiane nao, ikiwemo kwenda nao kwa watalaam ili tupate maelekezo pamoja, tusome nao kuhusu issues husika ili tukiamua tunajua madhara au faida tuzipatazo!
kila njia ina faida na hasara zake, so mngekuwa wote na ungekuwa keen enough ungetaka kujua kila njia, faida na hasara zake!
all in all, statement yako ni ngumu sana na ni hatari kwa huduma za jamii!
Mkuu unaonekana unatetea hizi njia za uzazi aisee labda zitumike kwa matahira kuzuia hizo mimba ila still bado nihatari kwa sababu bado watapata matatizo

Mimi sister yangu ni muathirika wa hizi dawa ashafanyiwa opereshen mara ya kwanza miaka mitano iliyopita kwa maumivu ya tumbo ni moja ya athari za hizi dawa kulinda uchafu na 2016 walitaka kumfanyia tena operesheni ila Mungu tu amesaidia tatizo lake kama limelegeza kamba hizi dawa hazifai tena hazifai maana ukitumia mda mrefu sana unakuwa mgonjwa wa maumivu wa Tumbo yaliyopitiliza na mwanamke siku zake anaweza asisione kwa miezi kadhaa.
 
kutoona siku ndio lengo la hizo dawa!
nimekueleza hizo ni moja ya side effects za hizo dawa!
wapo watu wengi wanaotumia ukilinganisha na few cases za wanaolalamika!
Birth Control Pills
hiyo ni link ya kawaida tu sio kitaalam kiile kutaka kujua faida na hasara za contraceptive pills, unaweza kutazama links zingine.
point to take, kabla hujafanya lolote kubwa katika maisha yako, andaa matrix inayokupa nafasi ya kuangalia faida na hasara ya kila decision, ikiwemo kubaki kama ulivyo (yaani kukaa na kutofanya lolote). hii itakutuma utafute faida na hasara ya kila decision hence utalazimika kusoma, kutafuta ushauri au kufikiri sana juu ya maamuzi yako kabla ya kutenda!
ktk kutaka information kesi moja moja hazitoshi kukupa jibu zuri, tafuta kesi nyingi kidogo, kama jambo hilo limejirudia kwa watu Zaidi ya 10 ktk circle yako then ni serious, pima kwa kigezo hicho then angalia faida na hasara kwako binafsi!
mimi sio shabiki wa pills,
baada ya kutambua faida na hasara mke wangu alisita kutumia pills na tukaamua kutumia condom, after all ni mwili wake so decisions za kitu gani kina mfaa anafanya yeye Zaidi, maana zipo pia njia za kumfunga mwanaume ambazo mimi sikuridhia!
condom ikawa salama kwetu na hatukuwa na ukakasi nayo kwetu wote!
principle ni mtu kujipimia njia iliyo bora kwake na sio kuimpose kwa watu nini wafanye au wasifanye based on your experiences kwa ndugu zenu ambao hata hatukujua kama walikuwa wazima kabla ya uamuzi wa kutumia uzazi wa mpango.
 
Screenshot (251).png
Screenshot (250).png
Mkuu unaonekana unatetea hizi njia za uzazi aisee labda zitumike kwa matahira kuzuia hizo mimba ila still bado nihatari kwa sababu bado watapata matatizo

Mimi sister yangu ni muathirika wa hizi dawa ashafanyiwa opereshen mara ya kwanza miaka mitano iliyopita kwa maumivu ya tumbo ni moja ya athari za hizi dawa kulinda uchafu na 2016 walitaka kumfanyia tena operesheni ila Mungu tu amesaidia tatizo lake kama limelegeza kamba hizi dawa hazifai tena hazifai maana ukitumia mda mrefu sana unakuwa mgonjwa wa maumivu wa Tumbo yaliyopitiliza na mwanamke siku zake anaweza asisione kwa miezi kadhaa.
hii ni link ya vijiti aliyosema mkuu
Advantages and Disadvantages of Intrauterine Devices (IUDs) | Michigan Medicine
nakuwekea pia picha za decision matrix ambazo hawa kwenye hiyo link wameweka inayoweza kukusaidia siku zote in case utaona uvivu kufuata hiyo link
 
Madaktari wenyewe wanasema njia hizo za uzazi sio nzuri ukitoa condoms, withdrawal n calendars. Though hayo wanasema pembeni sio wakat wakiwa ma makoti yao meupe.

Kitanzi kilimletea matatizo dada angu mpaka akatangulia mbele za haki.
Kivipi ,maana navyojua kitanzi si rahisi kwa kitanzi kusababisha kifo na hakuna kwenye literature kunakosema kinaweza kusababisha kifo labda iwe indirectly nihadithie nijue na nione km tunaweza fanya simple survey tujue kuna watu wamepata matatizo zaidi km hayo plz!km huwezi Ku disclose hapa ni PM somehow I can help.
 
Unaishi dunia gani? Hujawahi sikia wadada wanaogopa mimba kuliko ukimwi.
Sasa huko sio kupanga Uzazi ni kuzuia Mimba kitaalamu inaitwa Contraception, kupanga uzazi wanaita Family planning!nimeeleweka? Ila unaweza kutumia dawa za KUZUIA mimba kupanga uzazi !
 
Ujumbe wako ni hatari Zaidi kuliko hivyo vidonge vya uzazi wa mpango.
unapaswa kusoma kwanza kabla ya kufanya maamuzi yeyote makubwa ktk maisha yako, naamini hukufanya hivyo!
unajua kuwa kuna nyumba kadhaa zimeungua kwa itilafu za umeme, je ni sawa kuwaasa watu wasiendelee kutumia umeme kwa kuwa nyumba yako iliungua?
Nadhani taadhali ya msingi ingekuwa kueleza chanzo cha hitilafu, measure ulizochukua zikafeli au just ku-alert watu nini cha kufanya wasiunguliwe nyumba!
ukiondoa matangazo ya TV, katika kliniki za uzazi wa mpango, kama ulifuatana na mkeo, baada ya ile elimu wanayotupa kwa pamoja, huwa inafuata elimu ya mmojammoja pale unapoifikia huduma, hapo huwa unaelezwa vema Zaidi na unapatiwa tahadhali zote, mimi nilisomeshwa na mke wangu!
lakini pia kama ungekuwa makini, kabla ya uamuzi wako ungesoma juu ya hizo dawa za uzazi wa mpango (contraceptive pills) utaona kuna madhara kwa baadhi ya watu, na kuna njia tofauti kwa kadri utakavyoona ina faa ili kukuepusha na madhara husika! hili la kukosa siku, kuchelewa au kutoka kidogo au nyingi hasa muda mfupi baada ya kusimamisha utumiaji wa vidonge au sindano limeelezewa.
lkn pia kuna natural methods au condom kama njia pia za kukukinga na ujauzito!
kuna watu bado wanahitaji huduma hii sio tu kwa ajili ya ku-control idadi ya watoto, lkn wapo ambao uwezo wao wa akili ni mdogo kama wale wenye mtindio wa ubongo wanaweza kuzalishwa tu na mabaradhuli na familia ikaingia gharama, wapo wenye matatizo mengine ya kiafya na wasiwe na utayari wa kuzaa kwa kipindi Fulani, lkn pia huwa zinatumiwa na watu waliobakwa ili kuwakinga mimba isiingie baada ya tendo hilo ovu!
kusema kwako ni kitu hatari nadhani ni hatari Zaidi ya mkeo kuchelewa kupata siku zake!
lakini mwisho naomba nikushutumu wewe na wanaume wengine kama wewe, masuala ya uzazi tusiwasakizie tu wake zetu, tusaidiane nao, ikiwemo kwenda nao kwa watalaam ili tupate maelekezo pamoja, tusome nao kuhusu issues husika ili tukiamua tunajua madhara au faida tuzipatazo!
kila njia ina faida na hasara zake, so mngekuwa wote na ungekuwa keen enough ungetaka kujua kila njia, faida na hasara zake!
all in all, statement yako ni ngumu sana na ni hatari kwa huduma za jamii!
You are Genius ,je ni haki kutoweka Umeme nyumbani kwako kwasababu nyumba nyingi zinaungua kwa hitilafu ya Umeme?
 
Kitanzi ni kile kinachowekwa kwenye mkono?
Hicho ni kipandikizi ,Kitanzi kinawekwa kwenye miji wa mimba au Uterus mara baada ya kujifungua(postpartum IUCD)mpk masaa 48 ,mara baada ya Hedhi au mama akihakikisha hana mimba(Interval IUCD)
 
Back
Top Bottom