Matumizi ya mafuta safari kutoka Dar es Salaam - Arusha

Matumizi ya mafuta safari kutoka Dar es Salaam - Arusha

Mi mwezi januari nikitumia gari yenye cc 1.5 nimetumia lita 50. Nilianza safari yangu usiku saa 2 dar nimeingia saa 9.30 alfajiri..
Wamama wa chips wamekuja huku
Wanafikiri ni CC za jiko la gesi
 
Back
Top Bottom