Daud Nyanda
New Member
- Jun 3, 2023
- 1
- 2
Tupo katika dunia ya sayansi na teknolojia ambayo kila siku vitu vipya vimekua, vikigundulika na vya zamani kufanyiwa uboreshaji zaidi ambapo tunaona mabadiliko ya Sayansi na teknolojia yalikua zaidi kwanzia miaka ya 1700 ambapo vifaa mbalimbali vya kisayansi vilitengenezwa Na kuleta mabadiliko hasa katika nyanja za viwanda mnamo miaka ya 1990 ndipo mitandao ya kijamii mbalimbali ikashika patamu kama facebook, twitter .
Mitandao ya kijamii ni aina ya mifumo ambayo huweza kukutanisha watu mbalimbali katika mifumo ya kidijitali ambayo huruhusu watumiaji wa mfumo kuchapisha mawazo yao kwa njia ya maandishi, kutumiana video mbalimbali, kutoa maoni yao pamoja na kubadilisha chochote kile katika mifumo hiyo.
Mifano ya mitandao ya kijamii ni kama twitter, instagram, facebook,tiktok.
katika dunia hii ya sasa watu wengi duniani hutumia mitandao ya kijamaa katika nyanja mbalimbali za kisiasa, kiuchumi na kijamii hivyo kupitia hilo kama vijana wanaweza kutumia hiyo mitandao ya kijamii kama fursa ya ajira na kujipatia kipato hii itachochea maendeleo, uwajibikaji katika jamii na taifa kwa ujumla,moja ya fursa mbalimbali zinazoweza kupatikana katika mitandao ya kijamii ambazo zitachochea maendelo katika jamii na kukuza uchumi wa taifa fursa hizo ni kama.
Kutangaza biashara: mitandao ya kijamii inaweza kutumika katika kutangazia biashara ili iweze kujulikana kwa watu mbalimbali hii itasaidia kuongeza wateja ambao watanunua bidhaa husika na kuongeza mauzo katika biasha kupitia hilo kijana ataweza kulipa kodii na kujipatia kipato.Kwa mfano vijana wanaweza kutumia instagram kutangaza biashara zao kwa kuchapisha machapisho mbalimbali kama ni mavazi, Mazao ambayo itajulikana kwa watu na kuvutia wateja mbalimbali.
Hivyo kupitia mitandao ya kijamii kijana anaweza kutanua wigo wa biashara na kuongeza kipato chake na kukuza uchumii wa nchi husika.
Kuchapisha maudhui mbalimbali:Vijana wanaweza kutumia mitandao ya kijamii kwa kuchapisha maudhui mbalimbali na kuyauza kwenye mitandao.Kwa mfano machapisho kuhusu ushauri wa kiafya,michezo yanaweza kuwa kwenye mfumo wa video fupi au jumbe za maandishi na kuyauza mitandaoni kama u-tube ,tiktok kwa sababu watu huvutiwa, kupitia hili vijana wanaweza kujipatia fedha nyingi sana endapo watatumia fursa ya kimtandao kuchapisha maudhui hii itasadia zaidi kuchochea maendeleo na kukuza uchumi wa nchi kwa sababu vijana wataweza kujiajiri wenyewe.
Kuunda vikundi vya ujasiriamali: Kupitia mitandao ya kijamii ni jukwa ambalo vijana wanaweza kutumia kuunda makundi ya ujasiriamali pasipo kuzingatia umbali kwa sababu mitandao ya kijamii huweza kuunganisha watu pasipo kujari umbali wa sehemu kimazingira.
Kwa mfano kupitia facebook vijana wanaweza kutengeneza makundi ya watu mbalimbali na kujifunz mbinu mbalimbali kama ufugaji wa kuku kwa kualika wataalam mbalimbali na kwenda mbalizaidi hata kuungana kwa pamoja ili kufanikisha malengo yao.
Kupitia hilo inaweza kusaidia vijana kupata kipato kutokana na maarifa waliyopata kwenye makundi hayo na kuchochea maendeleo katika jamii na taifa kwa ujumla.
Kupata wateja wapya katika biashara zao: Vijana wanaweza kutumia mitandao ya kijamii kupata wateja wapya wa biashara zao tofauti na wateja wa kwanza kwa mfano Unapochapisha tangazo la biashara katika mtandao wa kijamii kama instagram au U-tube kuna watumiaji wa mtandao watavutiwa na bidhaa yako kwa mara ya kwanza na kukutumia ujumbe wa kuhitaji bidhaa hii inasaidia kupata wateja wapya.
Hivyo basi vijana wanaoanzisha biashara mpya maarufu kama biashara za mtandao kutumia jukwaa hili kupata wateja wapya hii itasaidia kuchochea maendeo katika jamii na kukuza uchumi na kuongeza ajira kwa vijana kuweza kujiajiri wenyewe.
Ukiachana na njia mbalimbali ambazo vijana wanaweza kuzitumia kupitia mitandao ya kijamii ili kujipatia ajira zao na kupata kipato ambacho kitachochea maendeo katika nyanja mbalimbali katika taifa lakini katika kutumia mitandao ya kijamii zipo changamoto kadhaa zinazoikabili Mitandao ya Kijamii hasa kwa taifa kama Tanzania ambazo ni,
Gharama za vifurushi kuwa juu: moja ya changamoto zinazowakumbuka watumiaji wa mitandao ya kijamii hasa vijana ni gharamavza vifurushi kuwa juu sana na kushindwa kuzimudu gharama hizo.
Mfano Tsh 1000 kupata 350mb paka 500mb kwa siku hii inapelekea vijana kushindwa kujimudu kutumia mitandao ya kijamii.
Ukosefu wa elimu juu ya mitandao ya kijamii: Hii ni changamoto kubwa sana katika jukwaa la watumiaji wa mitandao vijana wengi hawana elimu ta mitandao Mano Sheria za kuchapisha maudhui katika mitandao hii inapelekea vijana wengi kuvunja sheria za kimtandao zinazovunjaa maadili ya jamii na kupelekea vijanaa kushindwa kufuata taratibu za kimtandao na kuzitumia kama fursa.
Hivyo licha ya changamoto hizo, serikali inapaswa kuboresha mazingira mazuri kwa watumiaji wa mitandao ili waweze kujiajiri na kutumia mitandao ya kijamii kuchochea maendeleo katika jamii na utawala bora katika nyanja za mbalimbali kama zifuatazo.
Kupunguza gharama za vifurushi kwa watumiaji,serikali inapaswa kupunguza gharama za vifurushi kwa watumiaji wa mitandao ili iweze kukudhi mahitaji ya watumiaji.
Kutoa elimu ya kimtandao: kwa sababu watu wengi hawana elimu ya matumizi ya mitando hivyo serikali inapaswa kutoa elimu bora ili watumiaji hasa vijana kufata sheria hizo na kutumia mitandao kukuza uchumi wa nchi na kujiajiri wao wenyewe.
Mwisho kabisa mitandao ya kijamii ni jukwa ambalo linatoa fursa kubwa sana kwa vijana kujiajiri wao wenyewe jambo linalopelekeaa kuchochea maendeleo katika jamii na utawala bora katika nyanja za biashara,elimu,utawala na kisiasa hivyo basi kutokana na maendeleo ya Sayansi na teknolojia mitandao ya kijamii ni jukwa kubwa sana na muhimu kwa kukutanisha watu mbalimbali duniani kote na kutoa fursa mbalimbali zinazotoa ajira kwa vijana na kuchochea maendeleo, Uwajibikaji kwa vijana watumie mitandao ya kijamii kwa manufaa na kufata taratibu na sheria zake ili wapate faida.

Attachments
Upvote
2