Matumizi ya neno Boss.

Matumizi ya neno Boss.

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
618
Reaction score
824
Enyi wafanyabiashara au wajasiriamali,msipende kukatumia haka kaneno 'boss' mfano Karibu boss,umetaka ipi boss?,

Ni neno ambalo linatumika in various environment. But let me be specific kwa case ya Mfanyabiashara na mteja.

Hili neno nimelitumia sana na watu wengi wamelitumia sana kwangu,kimsingi nineno ambalo lina Leta maudhi kidogo,MTU unaweza kuona kama vile "Unakuwa Manipulated kiaina"
Halafu asilimia kubwa ya wanaolitumia hawako Genuine,no true feelings of calling you Boss, they want to manipulate you.

Kwa wale smart psychollogicaly they can turn down the deal,Ukaishia kubakia na bidhaa zako kwa maneno ya kipuuzi kabisa!

Be ware! Before embarking some 'memes' its better you consider their effect.Kama ni mtani mwenzio its okey!Be real!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mteja mfalme kibongo bongo ukimwita mtu boss hata kama alikuwa anapita njia anaweza kujitutumua akanunua
 
Mteja mfalme kibongo bongo ukimwita mtu boss hata kama alikuwa anapita njia anaweza kujitutumua akanunua
Lakini kiuhalisia wengi wanafanya kiunafiki hawamaanishi ndani mwao kuwa kweli ww ni boss,.ni kama funika kombe mwanaharamu apite,.
 
Lakini kiuhalisia wengi wanafanya kiunafiki hawamaanishi ndani mwao kuwa kweli ww ni boss,.ni kama funika kombe mwanaharamu apite,.
Mom who is real nowadays unakaa ndani na mkeo au mumeo anakufanyia unafki sembuse mpita njia thts how capitalism works
 
Boss hilo neno nidawa ya kila ktu. Wabongo wengi wanapenda kujitutumua ukimuita boss akat mnafanya biashara nilazima ajitahid kulivaa hilo jina limfit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha haha mmeikumbusha ONTARIO..salute bosses...kumbe ilikuwa gate au angle ya kuwapiga watu hela
 
Back
Top Bottom