Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ukipata uje😀😀
Msemo wa Mwenye nacho(don zaidi) huongezewa utatumika hapo
cc caption copyNaombeni kufahamu maana na matumizi ya neno Cc humu JF. Je lengo ni kumuita mtu au kumtaja tu?
Mara nyingi huwa naona watu wana andika cc fulani bila kumtag mhusika sasa najiuliza usipomtag mhusika atajuaje umemcc kwenye huo uzi?au neno Cc ilinawekwa tu kama showoff?
Pongezi kwa wale wanao weka cc kisha wanamtag na mhusika ili aone na kuwahi eneo la tukio.
Mfano Cc Numbisa
Cc @ andika jina la mhusika bila kuruka mstar hapo kwenye @ na jina
Asa unipe ilie shukrani halisi basi... yaani kwa vitendo flani hivi amazing...
Uzuri maombi yamejibu. Soon utaona inbox yako kuna foleni ya PM za michuchu...Mzee tulimiss sana busara zako katika kutekeleza majukumu yetu ya kiume juu ya viumbe hawa.
Yaani toka uende kwenye maombi Bonny hashikiki kabisa.
Akikushinda nistue nimpe AMRI!
Hey baby!
Mpwa upo