Matumizi ya neno Cc

Matumizi ya neno Cc

Naombeni kufahamu maana na matumizi ya neno Cc humu JF. Je lengo ni kumuita mtu au kumtaja tu?

Mara nyingi huwa naona watu wana andika cc fulani bila kumtag mhusika sasa najiuliza usipomtag mhusika atajuaje umemcc kwenye huo uzi?au neno Cc ilinawekwa tu kama showoff?

Pongezi kwa wale wanao weka cc kisha wanamtag na mhusika ili aone na kuwahi eneo la tukio.

Mfano Cc Numbisa

Cc @ andika jina la mhusika bila kuruka mstar hapo kwenye @ na jina
cc caption copy
 
Mzee tulimiss sana busara zako katika kutekeleza majukumu yetu ya kiume juu ya viumbe hawa.

Yaani toka uende kwenye maombi Bonny hashikiki kabisa.
Uzuri maombi yamejibu. Soon utaona inbox yako kuna foleni ya PM za michuchu...

Ila usisahau, kizuri mtu hula na nduguye.

Anza na Jovitha afu unipasie fasta
 
Back
Top Bottom