Matumizi ya neno ''Gone''

Matumizi ya neno ''Gone''

Tatizo watu munadeal na tafsiri tu.... tena ya gone ...

Maelezo yanahitajika hapo kwenye

She is
She has.


Izo tafsiri amekufa ameenda.... zinafahamika... leta matumiz ya is na has kwenye iyo sentence
 
Nikweli sijakusomesha mimi, maana ningekusomesha mimi ungeelimika. Aliokusomesha ndio kakupa hiyo elimu ya matusi.

Ila punguza kukurupuka!
Hahaha. Wewe naona ndo engineer wa kukurupuka unavamia comments za watu bila kujipanga naona unataka nikuchambe bila maji. Naona unatumbua macho kama umepoteza kifungo cha chupi kwendraaaa mbwa mkata nyororo nanyota yako ka punda kazi kubeba mizogo yawengine. Unye usinye ntakuchamba ili mradi tako liwe safi. Narudi.
 
Nikisema 'amekwenda' bila kusema wapi sentensi haijakamilika? Hiyo sentensi imekamilika.
 
Nikisema 'amekwenda' bila kusema wapi sentensi haijakamilika? Hiyo sentensi imekamilika.
Uko sahihi mara nyingi neno moja linaweza kuwa sentence. Especially open word class. Eg come ni sentence. maana it has conveyed meaning semantically.
 
Kwenye sentence ya kwanza,neno gone ni adjective. Gone ya pili ni verb.
 
Naomba tofauti ya sentensi hizi

1. She is gone.
2.She has gone.
She is gone ni kitendo kinachomaanisha kuwa mtu mwengine amemsababishia kuondoka mara nyingi without willing.... Sawa na kusema she is beaten, yaani ameondoshwa na amepigwa resp.
She has gone hii ni present perfect tense... Yaani ameondoka.
 
Duh! Umesoma engineering? Maana hauoneshi dalili ya kusoma Kiingereza.
Mkuu futa kauli yako,kwani mtu akisoma engineering ndiyo hajui kiingereza?Ulifundishwa wapi hiyo kitu?
Huo ni mtazamo potofu.Suala la kujua lugha ni la mtu binafsi wala si group of people.
 
Naomba tofauti ya sentensi hizi

1. She is gone.
2.She has gone.
No 1 ipo wrong No 2 ipo correct kwanza mara nyingi is inakaaga sana kwenye present continuous tense. Iyo ya pili iyo ni tense ya past perfect tense japo nimesahau kidogo ni tense gani lakini kanuni yake inasema Noun/pronoun + past participle ambayo ni gone.go went gone.go ni infinitive verb, went ni past tense na gone ni past participle.mara nyingi hueleza tendo ambalo ni timilifu mfano ameenda. She has gone, or he has gone.
 
Sorry ni Noun/pronoun+verb to be+ past participle verb to be ndo iyo is.inaweza ikawa is,are,have,has,had izo zote ni verb to be
 
Back
Top Bottom