asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Kwa nini usishauri matumizi ya majina halisi badala ya 'old' ID?
bora uwaambie...nakuja muda si mrefu kusaka mke humu
kumekuwa na kawaida ya wana love connect kutumia ID mpya kupost mahitaji yao. kama mtu unauhitaji huna sababu ya kujibana bana humu ,kwanza hata wanaokufahamu humu wanahesabika na hizo ID mpya zinakosa mvuto wa kumvutia huyo mwenzako unayemtafuta.
inapendeza na inaleta uhalali wa ulitakalo unapotumia ID yako tuliyoizoea ,kwa mfano kama alivyopost Madame B
jamani ,tutumie ID zetu zilizozoeleka kwa mafanikio zaidi ya uhitaji wetu.
Mi nawashangaa ndo maana kumbe wanarudi kulalamika oooh hatupati wake.....
wakati tupoSingle ladies hapa na we are Serious Searching!!!!!
mtu anakuja na kaID kapya hata hakajulikani anatafuta mke, utampataje wakati hata hakujui.
Imagine asakuta same unabandika hapa tangazo unatafuta kwanini nisite kuwa na wewe wakati nahitaji na nakujua??????
shauri enu na viID vyenu mtatafuta january to december hampati mtu hapa.........
Wengine ni kutojiamini, wengine ni jokes, hili jukwaa linakosa mvuto na maana kwa sababu hiyo. Mahusiano sio swala la kulifanyia mzaha, tuwe serious basi.
hahah, wifi umenikumbusha mtu alikuja humu akasema anatafuta mume ila awe senior member, lol. Ngoja nilipie subscription yangu manake sikawii kukosa kuchumbiwa kisa sio premium member lolMimi nikiweka la kwangu, moja ya sharti huyo mtu awe na experience ya MMU isiyopungua 3 years ili nimfuatilie mabandiko ya nyuma.
Mimi nikiweka la kwangu, moja ya sharti huyo mtu awe na experience ya MMU isiyopungua 3 years ili nimfuatilie mabandiko ya nyuma.
ndiyo hapo sasa , sisi makomando tutawatambua vipi masingo ladies wakati mnajificha ficha nyuma ya ID mpya.......
jirekebisheni bana.
Mi nawashangaa ndo maana kumbe wanarudi kulalamika oooh hatupati wake.....
wakati tupoSingle ladies hapa na we are Serious Searching!!!!!
mtu anakuja na kaID kapya hata hakajulikani anatafuta mke, utampataje wakati hata hakujui.
Imagine asakuta same unabandika hapa tangazo unatafuta kwanini nisite kuwa na wewe wakati nahitaji na nakujua??????
shauri enu na viID vyenu mtatafuta january to december hampati mtu hapa.........
kweli, ila mimi nahitaji kuongeza mke!
bora uwaambie...nakuja muda si mrefu kusaka mke humu
Ujitokeze sasa na ID yako ya kila siku....!!!!!
kwa hili hope ngoja niweke sasa majina yangu kamili, ingawa nashindwa utundu wa kubadili. kama naweza ongeza ALIAS, aka, naombeni msaada wana jf