asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
kumekuwa na kawaida ya wana love connect kutumia ID mpya kupost mahitaji yao. kama mtu unauhitaji huna sababu ya kujibana bana humu ,kwanza hata wanaokufahamu humu wanahesabika na hizo ID mpya zinakosa mvuto wa kumvutia huyo mwenzako unayemtafuta.
inapendeza na inaleta uhalali wa ulitakalo unapotumia ID yako tuliyoizoea ,kwa mfano kama alivyopost Madame B
jamani ,tutumie ID zetu zilizozoeleka kwa mafanikio zaidi ya uhitaji wetu.
inapendeza na inaleta uhalali wa ulitakalo unapotumia ID yako tuliyoizoea ,kwa mfano kama alivyopost Madame B
jamani ,tutumie ID zetu zilizozoeleka kwa mafanikio zaidi ya uhitaji wetu.
Last edited by a moderator: