matumizi ya new ID yasitishwe humu!

matumizi ya new ID yasitishwe humu!

Mie bhana naona poa tu kama mtu ukificha real I'd ili iwe mzuka kufurahia tu chart na kuondokana na upweke......mie nipo chuga na manzi angu anasoma rock city, unaona asa apo!
 
Mi nikiwa na shida sijifichi na ndo maana nashinda Love connect kumbe watu wenyewe wana vifake ID!!!
kuna mkaka mmoja namuwinda kama nini utakuta kumbe kishatangaza na new ID aagggrrr goodby love connect.

nakushauri hamia PM
 
Kusitisha kuanzisha ID mpya itakuwa vigumu(watumiaji wengi wa jf hawataacha kufanya hivyo), labda kujaribu kubadilisha structure nzima ya JF, jambo ambalo naona wengi hawataafiki pia.
Kweli watu wana IDs lakini kwani ni za kweli? Ni fake na hazileti picha halisi ya mtu.
Kwani ni vibaya kuwa na system kama hii..
JINA KAMILI.
TAR. MWEZI NA MWAKA WA KUZALIWA(OPTIONAL )
MAHALI MTU ANAPOISHI.
PROFILE YA ELIMU AU OCCUPATION(IWE ELIMU AU BIASHARA )
LABDA SEHEM YA PICHA NA VITU KAMA HIVYO, HOBBIES NA MAMBO MENGINE.
Naamini hata comments watu wanazotoa zitakuwa na maana zaidi, sasa hivi naweza kutoa comment yoyote hata iwe ovyo, si nnajua hamna anayenifaham!

unamaanisha kama mtu anataka kuchangia love connect iwe ni lazima kujaza hizo particulars zote.?
 
Mimi Shark natafuta demu (mwizi mwenzangu) wa kujivinjari nae tu, sitaki mahusiano ya serious, na wala tusioneane wivu!!

Nikiwa nae kitandani akapigiwa na Boyf/mume wake, rukhsa kuongea nae hata kwa mapozi. Nami pia hivyohivyo!!

kuwa open hivyo pacha ndiyo inatakiwa , , , ,siyo kudanganya mtu awe na matarajio lukuki kumbe hamna kitu
 
Mie naona aibu kutumia id yangu...(Muulizeni charminglady jinsi ambavyo IDs zilizozoeleka zinavyokuwa kikwazo kufunguka kwenye issues)

kwanini uone aibu!!!!!!!? kwani unachokifanya siyo sehemu ya wewe?
 
Nadhani si lazima ziwe zote. Mimi nadhani iwe hivi, hata kama ID ni fake, basi angalau nikiingia kwenye profile ya mtu tayri nijue umri, hobbies, labda picha, mahali anapoishi... hata nikiamua kumwandiiia, tayari nina idea kidogo ya wapi anaishi, ana umri gani, hobbies zake ni zipi.
 
hahah, wifi umenikumbusha mtu alikuja humu akasema anatafuta mume ila awe senior member, lol. Ngoja nilipie subscription yangu manake sikawii kukosa kuchumbiwa kisa sio premium member lol

Hah hah wewe.....
 
Kusitisha kuanzisha ID mpya itakuwa vigumu(watumiaji wengi wa jf hawataacha kufanya hivyo), labda kujaribu kubadilisha structure nzima ya JF, jambo ambalo naona wengi hawataafiki pia.
Kweli watu wana IDs lakini kwani ni za kweli? Ni fake na hazileti picha halisi ya mtu.
Kwani ni vibaya kuwa na system kama hii..
JINA KAMILI.
TAR. MWEZI NA MWAKA WA KUZALIWA(OPTIONAL )
MAHALI MTU ANAPOISHI.
PROFILE YA ELIMU AU OCCUPATION(IWE ELIMU AU BIASHARA )
LABDA SEHEM YA PICHA NA VITU KAMA HIVYO, HOBBIES NA MAMBO MENGINE.
Naamini hata comments watu wanazotoa zitakuwa na maana zaidi, sasa hivi naweza kutoa comment yoyote hata iwe ovyo, si nnajua hamna anayenifaham!
Unafikiri watu wakitaka kukufahamu hata jina lako halisi watashindwa? Hii digital zaidi sema tu bado hawana maslahi na wewe...
 
Unafikiri watu wakitaka kukufahamu hata jina lako halisi watashindwa? Hii digital zaidi sema tu bado hawana maslahi na wewe...

Hembu niambie watafaham vipi, manake IT ilinipitia mbali kidogo.
 
Back
Top Bottom