Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,002
- 16,240
Mbali na mapenzi na sogeza nikae,
Kwenye mahusiano nimegundua swala la Matumizi ya Pesa kama Familia lazima Tujadiri kabla ya Ndoa
bila hivo huko mbele ni rahis sana kushikana mashati...
Imagine unaowa mke anatoaga Sadaka ya kujimaliza 😂😂😂
Au Ugonvi unaweza kuwa Mwaname anataka Tutumie vyetu wote kwa pamoja, hata vikiisha tutatafuta hela zingine.
au
Mwanamke hataki kuspend 😜 anataka kuwekeza property au assets
Itakuaje kama sio ngumi za uso na kuachana kunaingilia kati.
Misingi ya Maisha ni kuchagua.
1. Kuna Mwanaume mipango yake ni kuowa na kuweka ndani na kuhudumia familia yeye kwa kila kitu, na mke hana sauti yoyote.
2. Kuna wanaume wanataka kuishi maisha ya utafutaji na kutumia kwa pamoja na wake zao.