3.kuna wanaume hawa ndio wengi,MA-SIMP,........yeye anafanya kazi,mwanamke anafanya kazi,cha mwanamke hakiguswi,mwanamke yupo busy,Kila kitu anafanya housegirl,hata kutomba ni kwa machale,kua umeoa Kisha mke wako yupo seminar,yupo masomoni,sawa banaπππ,Mbali na mapenzi na sogeza nikae,
Kwenye mahusiano nimegundua swala la Matumizi ya Pesa kama Familia lazima Tujadiri kabla ya Ndoa
bila hivo huko mbele ni rahis sana kushikana mashati...
Imagine unaowa mke anatoaga Sadaka ya kujimaliza πππ
Au Ugonvi unaweza kuwa Mwaname anataka Tutumie vyetu wote kwa pamoja, hata vikiisha tutatafuta hela zingine.
au
Mwanamke hataki kuspend π anataka kuwekeza property au assets
Itakuaje kama sio ngumi za uso na kuachana kunaingilia kati.
Misingi ya Maisha ni kuchagua.
1. Kuna Mwanaume mipango yake ni kuowa na kuweka ndani na kuhudumia familia yeye kwa kila tu, na mke hana sauti yoyote.
2. Kuna wanaume wanataka kuishi maisha ya utafutaji na kutumia kwa pamoja na wake zao.
hapo kuchepuka itakua ruksa πππ3.kuna wanaume hawa ndio wengi,MA-SIMP,........yeye anafanya kazi,mwanamke anafanya kazi,cha mwanamke hakiguswi,mwanamke yupo busy,Kila kitu anafanya housegirl,hata kutomba ni kwa machale,kua umeona Kisha mke wako yupo seminar,yupo masomoni,sawa banaπππ,
Usingekuwa una lialia hapa.Tayari π
Anataka utembee bila nguo au sio ?Mimi sijaoa ila mchumba yupo committed sana na investiment, hela yangu au yake haipotei kizembe ni ana uchungu sana na mafanikio, sio mtu wa kuspend....niliwahi nunua jeans 4 mkupuo na Shirt 3 tu hiyo siku aliongea hadi povu likatoka mdomoni...
Dah we acha tu ilikuwa ni kesi hasa akifikiria 250K imekatika na vitu haoni, anaona risiti tu hahaAnataka utembee bila nguo au sio ?
Ni hatari sana aiseeDah we acha tu ilikuwa ni kesi hasa akifikiria 250K imekatika na vitu haoni, anaona risiti tu haha