David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Kifo ni popote haijalishi umekunywa au haujakunywa,wangapi sio walevi lakini wamekufa katika ajali!basi sawa kuna mwingine atasema maisha ya faa nini bila kunyanduana....
Rai yangu ni moja tu ndugu yangu, hakuna wa kukukataza kufakamia pombe zako, jihadhari na unywaji pombe ukiwa UNASAFIRI, singependa unikumbuke akati unakata roho kama ambavyo bodaboda hujutia kwa sauti "mamaaa nakufa kwasababu ya kiburi changu kukatiza mataa nikiwa nimelewa na bila tahadhari" huku utumbo wote nje na miguu haijulikani ilipo, semitrela la cement limefanya kazi yake...
hiyo singependa imtokee yeyote aliepitia bandiko hili, ni mbaya sana
Ishi maisha kadri unavyoweza kuishi