Matumizi ya pombe safarini ni hatari kwa uhai wako mwenyewe

Kifo ni popote haijalishi umekunywa au haujakunywa,wangapi sio walevi lakini wamekufa katika ajali!
Ishi maisha kadri unavyoweza kuishi
 
Mwisho ni kwa dereva bodaboda wote, ndugu zangu acheni izo mtaisha na kuwa walemavu wote. Kunywa pombe zako baada ya kazi, itakusaidia kuepuka ajali na ulemavu.
Kuna jirani yangu alikuwa boda boda,baada ya kazi akanywa pombe yake ili apumzike,
Akaja mteja ana pesa nzuri akamuomba ampeleke ubungo kutokea tabata,
akakubali ile anaingia barabara kuu ya mandera bila kuangalia akagongwa na gari yeye akafafa,ila abiria alipona.
Nadhani tuchukue tahadhari kwa kusema kunywa na kulewa ni mojawapo ya vihatarishi maishani.
 
dah! aise starehe hii ni hatari sana safarini na kwa maafisa usafirishaji mathalani bodabodas.

ni vizuri kuitumia uwezavyo starehe hii ukiwa mahali tulivu jirani na pakupumzikia.

ni vizuri zaidi kujizuia kutumia starehe hii ukiwa safarini, ukifika salama Safari yako basi unaweza kwenda kuburudika na kilevi ukipendacho taraaatibu....
 
Kit Kitabu gani?
 
Mtu anayeolewa safari namuonaga kama limbukeni flan hivi!yaani pombe inakuendesha Hadi unashindwa kuicontroll
 
Mtu anayeolewa safari namuonaga kama limbukeni flan hivi!yaani pombe inakuendesha Hadi unashindwa kuicontroll
umesema kitu ya maana sana,
ulimbukeni wa pombe unawafedhehesha na kuwadhalilisha sana kwenye public...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…